Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Mada murua sana mkuu Binafsi nimeelewa sana
Kuna mambo ambayo nitaanza kuyafanyia kazi naona Kama yananikwaza halafu yanataka kugeuka sehemu ya Maisha yangu

Ingawa siwezi kuiita Kama ni mkosi
 
Mada murua sana mkuu Binafsi nimeelewa sana
Kuna mambo ambayo nitaanza kuyafanyia kazi naona Kama yananikwaza halafu yanataka kugeuka sehemu ya Maisha yangu

Ingawa siwezi kuiita Kama ni mkosi
Ahsante sana mkuu. Fanyia kazi unaweza basilisha mfumo wa maisha yako
 
Very interesting...

Umenikumbusha kipindi fulani kuna mshikaji alikuja mtaa fulani niliokuwa naishi akitokea Arusha.Tukawa tunakaa nyumba moja.

Siku chache baadae nikamuona anavuta ganja.Nikamuuliza "naona umekuja na ganja ya arusha? ". Jamaa akakataa akajibu " hapana hii ni ya hapahapa".Nikashangaa sana nikamwambia "mimi nina miaka minne hapa sijui hata inapouzwa wewe kuja juzi tu tayari ushajua inapopatikana".

Siku zikapita na mim nikaja kuwa expert wa hizo mambo, nikawa nakula kaya kinoma.

Kilichotokea ikawa kila sehemu nitakayoenda, ndani ya siku chache lazima nipate rafiki mla kaya ananipeleka chimbo, mpaka nilipoacha.Ndio nikaamini utapata wa kufanana nae.
 
Tatizo Mungu alivyomwondolea Ayubu ulinzi, shetani akawa anasoma movement zake zote akawa anampiga kila eneo. Cha muhimu ni kumwomba Mwenyezi Mungu atuwekee uzio wa moto (ulinzi wa roho mtakatifu) kila siku. Kuna binti alikuwa anashuhudia kwenye Agape TV miaka imepita kidogo, alikuwa anashuka kuzimu chini ya maji. Sasa anadai wakiwa huko wanaona kinachoendelea huku duniani kama mtu anavyoangalia TV sebuleni kwake. Maana yake ni kwamba shetani na mawakala zake wanaweza ku track movement zako na kukupiga na laana, mikosi na magonjwa kama huna protection ya roho wa Mungu au kama huna ushirika na roho zao.
 
Guys hivi nimeeleweka kweli? Maana japo nimeandika mm nimejaribu kusoma ila naona kama sielewi hivi..Bahati mbaya sina njia nyingine ya kuandika hii post ikaeleweka
Binafsi nimekuelewa vizuri sana ila sijakubaliana na wewe kwa jinsi ulivyo husia ishamatatizo na tabia..... ulimwengu upo katika sehem mbili , ulimwengu usioonekana na unaoonekana. Ulimwengu usioonekana nao umegawanyika katika kambi mbili...kambi ya shetani na kambi ya mungu. Pia ulimwwengu unaoonekana (yani humu tunamoishi)nao umegawanyika hivo hivo. Upo upande wa mungu na upande wa shetani. Sasa bwana ulimwengu usioonekana una nguvu sana na ndo unaotawala ulimwengu usioonekana....kila upande una tabia zake i mean characteristics..... shetani yakwake yanajulikana ziku zote kuwa yeye mambo mabaya i mean dhambi ndo mahala pake na kwa mungu ni utakatifu kama inavofahamika.... pia kila upande( wa mungu na shetan) una wajumbe wake wengine wana sema malaika wake ambao hutimiza kazi za kila upande......mfano upade wa shetani una malaika wake au wajumbe wake au mapepo ambayo hufanya chini juu ili ule ufalme wao upate wafuasi na kutimiza malengo yao ikiwemo kusababisha mambo mabaya yakiwemo mikosi,mabalaa, ajali, madeni, hasara katika biashara na mambo mengine mengi......pia kwa mungu napo hivo hivo malaika pia wapo kuujenga ufalme wa mugu ikiwa na kutoa baraka na kukomboa mateka waliotekwa na upande wa pili. Pande zote zina nguvu ila MUNGU ana nguvu zaidi ya yote...



Sasa linapokuja suala la mambo mabaya kuwatokea watu...wale mapepo waga ndo sababu ya yote .Huwafanya wtu wawe mateka siku zote....ukikuta mtu mambo yake hayaeleweki ujue kuna shetani nyuma yake anasababisha mateso hayo na wala si hayo unayoongelea.....mapepo hufanya kazi pasipo kuonekana na huenda mbali mpaka hata kumshauri mtu afanye yasiyofaa..... japo kila anacho kifanya shetani huiga mambo kutoka kwa mungu na kuyabadilisha kuwa kinyume....penye baraka anatia mikosi... penye faida anaweka hasara ili mladi haaribu maana kazi ya shetani ni kuharibu,kuiba na kuchinja.




Kwa hoja yako wenda ndivo unavojua ila sasa mbona waga inatokea mtu anakuwa na mambo mazuri afu yanabadilika hata kama hajafanya mabaya au kuzoeya kufanya mabaya? Inamaa hiyo recordig divice iliyomo kwa binadam inafika kipindi inabadilisha mtazamo kuwa sasa huyu kwa kuwa kazoea mazuri ngoja nilete na kibaya.... mfano kwenye mtandao huwa napenda sana kuangalia magari aina ya BMW. Na waga nikirudi siku ingine kuseach naletewa BM hizo hizo... sijawahi letewa vits...sasa kwa hoja yako why mtu anakuwa na mafanikio afu anarudi nyuma iwapo hajabadili mwenendo? Kwa nini asiendelee kuwa na mambo mazuri kama google inavyozidi kuleta zile record za mambo mazuri? Nauliza maswali na namna hii maana hoja yako imeegemea huko.


Mi nadhani mwenye majanga kama hayo ni kumrudia mungu ili aepuke na mapepo hayo yanayo mpa tabu .........
 
Ni kweli... Ni kama vile ukikutana na mwanamke kahaba.. unaweza kumjua hata kwa kumuona.. tayari ile roho yake ya ukahaba inawasiliana vema na nature (mazingira) yanayomzunguka. Umeeleweka vema
Sure mkuu.. hafu ukitembea nae basi ujue utakua unapata wa namna hiyo tu
 
Tatizo Mungu alivyomwondolea Ayubu ulinzi, shetani akawa anasoma movement zake zote akawa anampiga kila eneo. Cha muhimu ni kumwomba Mwenyezi Mungu atuwekee uzio wa moto (ulinzi wa roho mtakatifu) kila siku. Kuna binti alikuwa anashuhudia kwenye Agape TV miaka imepita kidogo, alikuwa anashuka kuzimu chini ya maji. Sasa anadai wakiwa huko wanaona kinachoendelea huku duniani kama mtu anavyoangalia TV sebuleni kwake. Maana yake ni kwamba shetani na mawakala zake wanaweza ku track movement zako na kukupiga na laana, mikosi na magonjwa kama huna protection ya roho wa Mungu au kama huna ushirika na roho zao.
Kweli mkuu ulinzi wa Mungu nao muhimu sana katika hili..ndio maana paragraph ta mwisho nimetoa ushauri
 
Back
Top Bottom