Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Umenifurahisha

Ulivyoanza kujitetea

Hivi kwa nini da vinci hujiamini.?

I have been profiling you... And i have seen this several times

Why mani?
Nadhani ninatatizo kwenye personality yangu. Maana hata huku nilivo ni hv hv. Najiona kama ni kiumbe asiyefaa/asiye na maaana kuishi katikati ya watu. Ndio maana najistukia sana. I know this problem
 
Asante
Umenisaidia jambo,nimepata msukumo kutoka hatua moja kwnda ingine
Asante
SALUTE

Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na mashimo tu Yenye matumaini tu huku raha zikiwa chache mateso na taabu yamejaa! Kuna mambo yanaweza au yanatokea kwenye maisha yako hadi ukabaki unashanga. Yaani jambo fulani baya au zuri linakufata wewe tu kila siku hadi unajiuliza Why me?

Mfano uko mtaani kila tukio baya likitokea basi unahusishwa, unaweza kuta yani wewe kila mwanaume anayekufata ni ni wa aina fulani usiyoipenda, labda mwizi, muhuni, mweusi, mfupi, mjinga nk.

Kwa upande wa wanaume nadhani hii inawatokea sana utasikia kabisa mtu anasema "Aisee mimi nina bahati na wanawake
weupe/walimu/manesi/wanawake washamba nk nk. Yote haya ni maisha yetu ya kila siku ya sisi wanadamu, wengi hatuelewi kwanini hii inatokea hivi lakini ni vitu ambavyo vinahusiana na mambo ya kiroha na Kiasili (nature).

Lakini hadi mtu yanamtokea mambo haya bila yeye mwenyewe kujua hua nini kinafanyika? Hapa nitaenda kuelezea zaidi jinsi mambo mabaya yanavyokua yanaambatana nasi pasipo sie kupenda. ili nieleweke vizuri nitatumia terminologies za kwenye mambo ya teknoloji.

Kwenye Computer Processors kuna kitu kinaitwa Caches, hii ni sehemu ambapo ukifnya kitu fulani kwenye computer basi kile kitu kinahifadhiwa huko ndani ili ukitaka kukitumia tena basi kinafanyiwa kazi kwa haraka zaidi. Pia kuna kitu kingine kinaitwa HTTP Cookie hizi zinafahamika pia kama Web cookie, browser cookie, internet cookie... Hizi ni data ndogondogo ambazo huchukuliwa kwenye web, internet, browser n.k na kuhifadhiwa kwenye Computer wakati mtumiaji yuko anaperuzi. Kazi yake ni kurekodi mambo yote ambayo mtumiaji (user) anayafanya kwenye internet mfano. Zinarekodi Pasword, page ipi umetembelea, Majina,nk. Hayo yote yanakusaidia wewe mtumiaji wa internet utakapotaka kuperuzi mitandaoni basi iwe
rahisi kutumia.

Kwa upande wa Google huko wao wana project yao wanaita Hummingbird, hii ni alogarithm ambayo inafanya kazi ya kumwezesha mtumiaji wa huduma za google (Hasa YouTube na Google as Search engine) kupata huduma hizo kwa urahisi na kwa haraka...wanasema Google inakujua kuliko mama yako mzazi, Ni kweli.

Unapotafuta kitu Google chochote Hummingbird inarekodi kila kitu baadae ukitaka kuitumia tena inakuletea vitu kama vile ulivyotafuta mwanzo. Ndio maana ukitafuta kitu fulani YouTube ukaangalia ukamaliza labda ukatoka huko baadae ukirudi tena youtube utakuta video mbalimbali zinazoshabihiana na zile ulizoangalia mwanzo.

Yes kwakua Google wankua washajua ni vitu gani unapendelea so ili usisumbuke kuandika wanakuletea hapo kwenye homepage as suggestion posts.

Sasa turudi kwenye mada kuu, mada yetu inahusu kwanini mambo fulani (upande wa ubaya) yanaweza kua yanakufata wewe tu!. Kwenye moja ya post zangu zilizopita nilieleza kua Roho ya binaadamu ndio inabeba taarifa ya kila kitu kukuhusu wewe, so nikachukulia kwamba Roho yabinaadamu ni kama BIOS CHIP (ROM) iliyopo kwenye Motherboard ya Computer hafu mwili wetu ni kama kasha la nje la Computer...So unapokufa Mungu anachomoa Bios chip tu iliyo na taarifa zako!

Leo twende tofati kidogo, tuchukulie Roho ni HummingBird au Cookie au Cache japo mimi nitapendelea tuichukulie kama HummingBird. Roho (Soul) imegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni Mind, Intellect na Impression. Mind ndio inahusika kwenye kufikiria, hasa kwenye kutambua lipi baya na lipi zuri. Kwenye Mind kuna kitu kinaitwa Subconcious Mind hii ndio sehemu kuu ya Roho (Soul) ambayo kazi yake ni kurekodi shughuli zetu za kila siku ziwe za kimwili au kiroho.

Sasa kwenye maisha halisi ipo hivi, unapofanya kitu fulani roho(subconcious mind) yako inarekodi. Labda siku moja kuna uliwahi kuwa na mahusiano/ Kutongozwa/za na mwanaume au mwanamke ambao kwako wewe ambae wewe unaona hakufai, roho yako inahifadhi taarifa kwamba uko interested na watu wa namna hiyo. Au siku moja imetokea umeiba kitu roho itahifadhi taarifa. Siku umeenda jera basi roho itasevu. siku ukitembea na mtu aliekuzidi umri roho itahifadhi nk. .....Kwa upande wa Psychology roho tunasema kwamba Roho (Subconcious mind) inafanya kazi kwa ukaribu zaidi au inashirikiana katika kutenda kazi na Nature.

Kwahiyosasa unapofanya kitu furani roho yako ikakihifadhi, baadae Roho itawasiliana na Nature kwamba unapenda vitu fulani hivyo nature itakua inakuletea vitu hivyo mara kwa mara. Hiki kitendo nature kuwasiliana na roho kisha kukuletea yale usiyoyapenda ndio tunaita MKOSI.......

Mfano: Mbaba aliyekuzidi umri kakutongoza wewekwakua unashida zako ukamkubalia roho inahifadhi. Baadae itawasiliana na nature kua fulani anapenda wanaume wa umri fulani kisha nature itakuletea mwingine kama suggestion. ukikubali tena na tena basi ndio itakua tabia yako kabisa. Hii ipo kwa kila kitu iwe kibaya au kizuri.

Je, tufanyaje ili kuepuka mambo mabaya yanayotuandama?

Kwenye Computer ili kuziepuka cookies baada ya kutumaliza kuperuza mitandaoni inatakiwa uende upande wa setting kisha chagua Clear Cookies ili kuondoa kumbukumbu zote zote za kuperuzi siku hiyo. Kwa upande wa Google kubaki na taarifa zako... Hua tunashauri kutumia Search Engine ya Duck Duck Go, Hii web ni nzuri zaidi maana hua ina clear taarifa zako zote baada ya kumaliza kuitumia..ina mengi mazuri ya kiusalama hasa kwenye taarifa za utumiaji wa kila siku (Browsing History). Jamani siipigii debe hii web, ni kuwaweka sawa tu na mada yetu hii......Sasa kuclear cookies au kuondoa mikosi kwenye maisha kuna mabo kadha ambayo tutayafanya.

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini mtu akitoka jera hua au mahabusu (kituoni) zile nguo alizoenda nazo hua zinatupwa, pia itabidi aoge kabisa kabla hajaingia ndani, wengine huenda mbali zaidi kwa kuogeshwa dawa za mitishamba ili kuondoa mikosi. Hapo sasa ndio kitendo cha kuclearcookies. Wanafuta taarifa zote zilizomo kwenye roho zihusuzo jera. ni mfano tu huu ila hizi hapa chini ni njia zangu amabazo mimi kwa ufahamu wangu nadhani tukizitumia tutaweza kuondoa mshikamano wa mambo mabaya kwenye maisha yetu (Mikosi)
  • Kujua Preferences zako
Ili kuondoa kushikamana na mambo mabaya maishani inabidi mtu ujitambue wewe binafsi unapenda nini hasa. JE unapenda Kua mwema? Unapenda kuiba?unapenda mwanamke wa namna fulani?unapenda mwanaume wa aina fulani nk nk.. ukishajua ukipendacho basi futa yale uyapendayo nawe yatakua yanashikamana nawe.

Hatima yako ipo mikononi mwako, usiache Nature ikuchagulie Hatima yako kwa vitu ambavyo hupendi. Hivyo basi tukisha tambua yale tunayoyapenda na kuayafuata tutaifanya nature ituletee yale pia mabayo tunayapenda.Hapo tutakua tumekwepa kufuatwa na mabaya.
  • Kujiondoa kwenye mikosi. (Kuclear Cookies maishani)
Jamani maishani huwezi kua smart muda wote Nature always win!!!, ipo siku utanasa tu..Sasa hapa labda tuseme umeshavuruga mambo maisha yamejaa mikosi na mabaya yanakuandama..hapa sasa
tutaangalia jinsi ya kuondoa hayo mambo.

1. Tutumie Chumvi na maji, Usishangae sio uganga wala uchawi. Chumvi ni dawa nzuri sana kwa binaadamu nadhani member wengi wameielezea sana humu so sina haja ya kueleza zaidi. Cha msingi chukua chumvi ile ghafi ambayo haijapita kiwandani changanya na maji kisha nuia unavyotaka kisha oga. Hata nabii Ezra aliambiwa na Mungu achanganye maji nachumvi kisha kuwapatia wana wa israel wajitakase, ndio maana kwetu RC kuna maji ya baraka yenye Chumvi.
Kama utakua karibu na bahari itapendeza kabisa wewe ni kwenda na kujitupa tu majini maana huko chumvi kibao

2. Mshirikishe Mungu unayemuamini hata kama ni mzimu, hapo inabidi uombe toba kabisa,mweleze mapungufu yako na mahitaji yako kua unataka kuwa mtu mpya, mambo mabaya hutaki kushirikiana nayo..piga sala sana na ibada kadri uwezavyo. Almighty atakuelewa na kukusafisha uwe mpya.

Maisha bana is all about determing yourself akina mshana jr na wenzake, manabii na mashehe sahrifu wanatuibia tu kwakua wanajua elimu tunayo kidogo..hatujitambui. Tujifunzeni kujitambua hatutasubiria kuombewa na nabii. wao wanacheza na PSychology ambapo huko watu wengi ni watupu sa tunapigwa tuuu!!!

NOTE. Nimemtaja Mshana Jr coz tunamfahamu humu kua ni mganga/mchawi japo hafungamani na kimojawapo kati ya hivyo..Nothing Personal.
End....

Kama umepende Like, Comment then share kwa wenzio.

~Da'Vinci
el maestro.
 
Kuna shida ama katabia kabovu nilikafanya mahali bila kutaraji kanaanza kujirudia na amini usiamini tena kirahisi sana,
Moyo wangu unataka kukaacha na kukakimbia lkn najikuta tu inatokea tena napata urahisi wa kutenda tena,
Kupitia mada hii nimejua sijaclear coockies kwa hiyo mambo yanakuja tu,
Nina maji ya baraka home,
Acha nikafanye toba ya nia nijinyunyize na maji ya baraka,
Asante mkuu
Ahsante pia mkuu. Ubarikiwe nawe katika jambo hilo
 
Kuna shida ama katabia kabovu nilikafanya mahali bila kutaraji kanaanza kujirudia na amini usiamini tena kirahisi sana,
Moyo wangu unataka kukaacha na kukakimbia lkn najikuta tu inatokea tena napata urahisi wa kutenda tena,
Kupitia mada hii nimejua sijaclear coockies kwa hiyo mambo yanakuja tu,
Nina maji ya baraka home,
Acha nikafanye toba ya nia nijinyunyize na maji ya baraka,
Asante mkuu
That's Good mkuu! Nuwia pia kwa kumuomba Mungu akate mshikamano na jambo hilo..Kila kitu kitakua sawa.
 
Umenena kweli mkuu, huwa sometimes kuna watu huwa wananifuata kuomba ushauri wa masuala fulani katika maisha but katika mahojiano unakuja kugundua unamfanyia counseling mtu ambaye umri wake ni mara mbili au tatu ya umri wangu, but huwa naelewa utofauti uliopo ni uelewa niliyonao juu ya yale yanayowasibu, kwa bahati mbaya au nzuri yote huwa napata kwa kusoma vitabu, practice na kusikliza audios tofautitofauti bila kusahau na kushiriki mazungumzo na watu bila kuangalia umri wala cheo.

Kiujumla katika maisha kuna vitu ukivijua huwezi jisemea kuwa yanyikutokea ni bahati, coz utakuwa tayari hushayona katika ulimwengu mwingine ambao wachache sana ndo wenye uelewa nao, mfano Mshana Jr, huyu jamaa wengi huwa wanadai mchawi kutokana na mada zake nyingi but ukweli ni kwamba ukifuatilia hayo mambo kwa undani utagundua hata mchawi hawezi kutisha mkuu, wengi katika maisha yangu nimekutana nao na huwa wengine huwa wanatest zali ila mambo yakagoma.

Wazee tafuta namna ya kuelewa strength of your spiritual power utautazamia ulimwengu tofauti sana na jinsi wengi wamavyoutazamia.
 
Back
Top Bottom