Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Sijayagusia kabisa kwakua hayakua yanahusu mada ninayotaka kuiandika
Kuna kitu inaitwa Abbreviation hii ni pre-face ambayo unaandika kwa uchache sana maneno ambayo utayatumia katika chapisho lako.

Nilitarajia uchambuzi huu uliojinasibisha kuwa ni wakitaalam ungezingatia haya yote, "next time if you have little you should shut the front door"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika na wewe makala yako ufanye unavyosema, yeye mwandishi kashakwambia hakuona umuhimi wa kufanya hivyo wewe unamlazimisha afanye utakavyo.
 
Ndugu mbona unalizimisha niandike kadri ya jinsi ww unavyotaka wakati mm sikuandika hayo kwakua hayahusian
 
Andika na wewe makala yako ufanye unavyosema, yeye mwandishi kashakwambia hakuona umuhimi wa kufanya hivyo wewe unamlazimisha afanye utakavyo.
Kanishangaza sana..anataka niandike vile yeye atakavyo
 
Basis wavuvi wote wa baharini wangekuwa wana maisha mazuri.story zako ni za kusadikika.
 

Nimeelewa sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Vitendo viko vipi.?

Sio kwamba ikiwa io ni sheria,hapana.Vina ukweli kwa asilimia fulani na asilimia fulani ni uwongo na hapo itategemea mhusika au wahusika wamevipokea vipi ili viwe kweli.
 
Thanks , huwa nafuatilia sana your threads , I’m your fan


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ahsante sana mkuu. It's really good to hear that, thanks for understanding my Stupidity
 
Umeeleweka ila ulitakiwa ubadilishe kichwa cha Habari labda kiseme jinsi ya kuepukana na mambo mabaya
 
Daa! bujibuji bana km huja tumia ile kitu akili inatuliaga sana! any way nimeipenda hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…