Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

No matter how stressful life it is. Won't stay to me forever
 
I'm wonderful made, Powerful creature.
Created by love
 
Even the whole world laughing at me One day I will be valuable
 
I love you Vinchii, Wishing you all the best. One day Peoples will want to shake hand with you
 
Hivi mkuu kumbe mwanamke kupata mwanamme mweusi,,mfupi ni mikosi?
Sikupata kujuwa ndy Leo nimesoma kwako..
Hivi mwanamke kupata bwana aliyemzidi umri pia ni mikosi?
 
Guys hivi nimeeleweka kweli? Maana japo nimeandika mm nimejaribu kusoma ila naona kama sielewi hivi..Bahati mbaya sina njia nyingine ya kuandika hii post ikaeleweka
mkuu umeeleweka sana nahisi nimeletwa kwenye huu uzi kwa neema ya mungu tu kwa kile ninachopitia muda huu
 
mkuu umeeleweka sana nahisi nimeletwa kwenye huu uzi kwa neema ya mungu tu kwa kile ninachopitia muda huu
Ahsante na hongera kwako..
Nafarijika kuona mtu kajigunza kitu Toka kwangu
 
One day..All people will want to shake hand with me

Chief, so far I see more than 30k viewers! Which means pips wanakusoma!

The ugly reality of life ni kwamba hata wale watakaokuelewa mno kuzidi hata wewe unavyojielewa bado wengi wao watasimama against you!

Take heart! Simama sambamba na Imani yako! Utayumbishwa ndio. Tena sana! Ila try more than anything else to find the way back to your true reality!

Ps; We are shaking hands with you now! [emoji119][emoji119]
 
They're always against man..
How to find the way back to true reality..?
 
Keep posting bro! contents ipo vizur inaeleweka, binafsi nimekuelewa sana
Merci!
 
Guys hivi nimeeleweka kweli? Maana japo nimeandika mm nimejaribu kusoma ila naona kama sielewi hivi..Bahati mbaya sina njia nyingine ya kuandika hii post ikaeleweka


Nakupinga sana kwa jambo moja tu, hapo ulipoagiza watu wanuie kwa kutumia chumvi na kuogea ili kuondoa nuksi. Kwa kuwa wewe ni mkristo ngoja nikuthibitishie nakupinga kwa kutumia maandiko katika Biblia.

Kwa sababu nyakati hizi zimebadilika, na sheria ya maongozi ya Mungu yamebadilika. How?

Tangu kuwepo kwa mwanadamu katika uso wa dunia mpaka sasa, Mungu ameiongoza dunia kwa nyakati tatu tofauti.
1. Kaiongoza Yeye mwenyewe kipindi cha Agano la kale kwa Torati na sheria.
2. Kaiongoza kupitia Yesu Kristo kwa miaka 33 Yesu alipokuwa duniani, kwa sheria na neema. Sheria hii ya Yesu ni ngumu kuliko ya Musa ila ina neema ya kutuwezesha kuishika.
3. Anaiongoza kupitia Roho Mtakatifu hata sasa.


Kwanini nakupinga?

Nyakati za Yesu na Roho Mtakatifu tunaendeshwa na sheria ngumu kuliko ya Musa, nyakati za Musa, ukizini ukikamatwa ndipo unahesabiwa dhambi, usipokamatwa huna dhambi. Nyakati hizi ukimtizama tu mwanamke au mwanaume kwa kumtamani tu, umekwisha kuzini naye moyoni, na unahesabiwa dhambi.

Nyakati za kale, ili utubu dhambi zako lazima ufanye tendo, uchinge ng'ombe au mbuzi kadhaa mwenye(wenye) sifa flani kulingana na dhambi unayoitubia. Nyakati hizi hatuchinji tena kwa sababu yuko aliyechinjwa(Yesu Kristo). Hivyo kwa kupigwa kwake sisi tumepona. Siku hizi tunatumia kafara la damu ya Yesu na tunahesabiwa haki.

Yohana 1:16 - 17
"Kwa kuwa katika utimilifu wake sisi sote tulipokea, na neema juu ya neema.

Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo."

Kutumia chumvi au tendo lolote la kiimani sio nyakati zake hizi. Kuna watu hadi wanatumia fruto wanaifananisha na damu ya Yesu, hadi ukienda maduka ya wahindi wanadhihaki wanauliza hununui damu ya Yesu? Ni dhambi mbele ya Mungu kugeuza utukufu wake na kufananisha na vitu vilivyotengenezwa na mwanadamu.

Mwisho kabisa badala ya kufanya matendo hayo ya kiimani ya kuondoa nuksi, tuongozwe na neno la Mungu tu.

"Neno la Mungu ni mamlaka ya juu na ya mwisho kabisa kwa mkristo".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…