Ahsante Miss Den kwa kuniweka sawa. Kidogo nilikosea katika ku-quote nikajipata nime reply kwako, maana lengo langu lilikuwa kumweka sawa Mkuu mmoja aliyekuwa anakukosoa.
Kuhusu ushauri wangu kwako, naomba ujitahidi kujiamini, maana kuna sehemu katika nyuzi hii umeonyesha wazi wazi kupitia post yako ya kuwa hata wewe umejaribu kukisoma ulichokiandika na bado haujakielewa!!! Pia hakikisha maneno na kagua ulichokiandika na kuweka sawa maneno yaliyobadilishwa na kiotomatiki na simu janja yako. Ahsante