Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongeraa sana kiongozi..nafarijika sana kusikia hvoDah,yaani jinsi ulivyofananisha hivi vitu in comparison to computer technology umefungua akili yangu vizuri sana kwenye hii mada yako ,tuanzie hapa "Kwenye Mind kuna kitu kinaitwa Subconcious Mind hii ndio sehemu kuu ya Roho (Soul) ambayo kazi yake ni kurekodi shughuli zetu za kila siku ziwe za kimwili au kiroho" NA pengine ni hapa"so nikachukulia kwamba Roho ya binadamu ni kama BIOS CHIP (ROM) iliyopo kwenye Motherboard ya Computer halafu mwili wetu ni kama kasha la nje la Computer..So unapokufa Mungu anachomoa Bios chip tu iliyo na taarifa zako!"....
Ahsante sana mkuu. Hilo la kusoma tupate ujira daah so sad.Education is not the learning
Of the fact,
But the training of the mind to think,
Ila wengi wetu tumesoma ili tupate ajira,
Safi Kwa kukaa chini Na kufikiria.
Nikweli mkuu!! Kikubwa ni kumtanguliza Mungu mbele.Mada ni nzuri na inaeleweka vizuri, ila point moja ya ziada ni tunapaswa kutambuwa kuwa si magumu yote tunayokutana nayo katika maisha ni mikosi Bali mengine ni mafundisho ya kufikia utimilifu sahihi.
Nafanyaje niupate mkuu nataka niwe mchawi wa faida na kujipatia pesaUchawi wa nini? Uchuwi ni manuizi ujue yale madawa ni kukamilisha tu
Na hiyo lugha sasa,mkuu nisaidie nikusaidie hata huko PMConsult Kigoma's peoples