Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

@Denvers,
Dah,yaani jinsi ulivyofananisha hivi vitu in comparison to computer technology umefungua akili yangu vizuri sana kwenye hii mada yako ,tuanzie hapa "Kwenye Mind kuna kitu kinaitwa Subconcious Mind hii ndio sehemu kuu ya Roho (Soul) ambayo kazi yake ni kurekodi shughuli zetu za kila siku ziwe za kimwili au kiroho" NA pengine ni hapa"so nikachukulia kwamba Roho ya binadamu ni kama BIOS CHIP (ROM) iliyopo kwenye Motherboard ya Computer halafu mwili wetu ni kama kasha la nje la Computer..So unapokufa Mungu anachomoa Bios chip tu iliyo na taarifa zako!"....
 
Hongeraa sana kiongozi..nafarijika sana kusikia hvo
 
Safi, mada nzuri.
Ndio maana hata ukitoka kwenye familia duni itabidi utumie nguvu kubwa sana kutoka. Unaweza shangaa kila ufanyalo haliendi.
Maisha yana siri kubwa jinsi mambo yanavyokwenda mkuu
 
Nimeelewa vizuri sana hili somo. Nadhani ni kwa sababu ya mifano ya kompyunyo ulioiambatanisha humu. Ahsante mkuu.
 
Education is not the learning
Of the fact,
But the training of the mind to think,
Ila wengi wetu tumesoma ili tupate ajira,

Safi Kwa kukaa chini Na kufikiria.
Ahsante sana mkuu. Hilo la kusoma tupate ujira daah so sad.
Nimependa QUOTE yako nitaichukua
 
Mada ni nzuri na inaeleweka vizuri, ila point moja ya ziada ni tunapaswa kutambuwa kuwa si magumu yote tunayokutana nayo katika maisha ni mikosi Bali mengine ni mafundisho ya kufikia utimilifu sahihi.
Nikweli mkuu!! Kikubwa ni kumtanguliza Mungu mbele.
 
Back
Top Bottom