Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Chumvi na maji havitakaa kuwa tiba ya kile kinachoitwa mikosi,ni dhana potofu isiyo na uthibitisho wowote au mantiki yoyote kwamba vitu hivyo ni suluhisho kwa hicho kinachoitwa mikosi ambacho hakina uthibitisho kuwapo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu mm numekuelewa.
ahsante kwa mchango
 
Mind hapa umesema kuna subconscious mind? Na yule mwenzie conscious wako naye hapa au yeye yu wa?

Intellect: hujagusa kabisa sijajua ni makusudi au bahati mbaya?

Impression; inafanyaje kazi? Nn hii kitu nk.

Umegusa 10% ya mada yako, ndio mana hata wewe mwenyewe umekiri kwamba umesoma na hujaelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
images
 
Sijayagusia kabisa kwakua hayakua yanahusu mada ninayotaka kuiandika
 
Back
Top Bottom