Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Definitely, No one Cares!
FB_IMG_16666434244200681.jpg
 
Find the beauty of lofe and live it🌹
FB_IMG_1682889250050.jpg
 
Uko sawa kabisa labda sijawasilisha point yangu vizuri ninachomaanisha ni haijalishi jambo gani limetokea nitalichukulia ktk mtazamo chanya na si kujiambia nina bahati mbaya japo najua bahati mbaya ipo.

Eti a random guy! Yu
Hello
 
I'm fine ma'am
Muda sana sijakuona, you're missed.

Ps. I'm not a boss

Nipo ila nimekuwa msomaji zaidi kukoment mara chache sana.

Hehe! Don't act like this, to me you're a boss.
 
Kuhusu swala la kujitambua inatokana na elimu anayopata MTU husika kama Ina mjenga ki akili, kuweza kutatuwa changamoto zinazo mzunguka.

Watu kupanga foleni kubwa, mpaka wengine kufariki njiani, Ili kupata kikombe Cha Babu,
Watu kukanyagana mpaka kufariki wakimlilia shujaa,
Washabiki wa yanga kufanya party ya kupakazana mav! Baada ya kuifunga azamu,
Watu kukanyagana wakigombania mafuta ya nguruwe(upako)( buludoza)mpaka kusababisha vifo,

Ni wazi wa TZ wengi sana na Kwa bahati mbaya Wana matatizo ya afya ya akili 😭😭😭
 
Mkuu hiyo kitu ilitokea wapi??
 
Kuishi ni upumbavu. Hakuna faida!
 
Jamii imetuwekea matakataka mengi kichwani.Tunaamini sana shida kuliko mafanikio,tunaamini sana umasikini kuliko utajiri, tunaamini sana Mbinguni kuliko duniani,tunaamini sana uimla kuliko upekee.
Tumeruhusu negative energy kutawala maishani mwetu!
 
Back
Top Bottom