Hii ni kwenu waajiri, yalinikuta ndo maana nimefanya hivi.
Makampuni mengi binafsi na wafanyakazi hawajui haswa gharama za jumla mfanyakazi anazochukua kila mwezi, siku akifanyiwa audit na TRA au NSSF wakitia timu machozi yanaanza.
Wanafanyakazi wengi kwenye negotiation za mshahara anataja tu "nataka take home ya 1,000,000/=" kwa haraka unakuta mwajiri anakubali lakini mbeleni anaona mahesabu hayaendi kwani ili apate mshahara wa 1,000,000 baada ya deduction zote za serikali gharama za kulipa mshahara na makato ni TZS 1,452,430 yani imeongezeka zaidi ya laki nne na nusu extra!!
Baada ya kukosa usingizi usiku huu nikaona bora nicode kasimple solution na nikigawe bure hapa, pengine itakusaidia kwenye kuendesha kampuni yako na muajiriwa kujua jinsi ya kunegotiate.
Calculator nyingi unaingia Gross ili upate net, lakini hii haina maana kwa mwajiri kwa sababu, mbali na gross kuna makato mengine lazima yatoke kwake, hivyo "Gross Salary" haina maana kwake
Anayetaka kuihost ruksa kwake, file naliattach hapa chini, error rate yake ni <0.5%. Unaweza kuihost bure ukitaka lakini usiondoe attribute.
Jaribuni kisha toeni mrejesho!
============= UPDATE v2.0 ================
- SDL imeongezwa kwenye makato na option ya kusema kama una wafanyakazi 10 au zaidi ili iwe activated
Link:
View: https://drive.google.com/file/d/1SEFL2cz_6ctruO9n3-n6pdR2Cm3C-j4a/view?usp=share_link