Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakua huna akili kama hujaona Credit imetolewa kwa nani.Copy n paste[emoji706][emoji706][emoji706] unless wew ndo mwandishi wahii story twitter
Ofcoz cha soma mpaka mwisho baada ya kuona ame copy kitu nilicho soma tayariUtakua huna akili kama hujaona Credit imetomewa kwa nani.
Inaitwa sampling. Jay Z alitumia wimbo wa Alphaville uliotoka mwaka 1984 kutengeneza version yake. Akamtumia Mr Hudson kwenye chorus.Shida ni kwamba huu wimbo waliufanyia remix au tuseme kuna original version aliyoimbaga jamaa mmoja sema yeye hakutoboa nadhani Jay z alinunua full copy right .
Nilipoonaga original yake nilijikuta naipenda ile kuliko hii ya Jay zz
Bonge la jibu...Kamwambie mbunge wako Babu Tale akuchambulie.
Wimbo wenyewe Jay z alicopy na kupaste ko hatakiwi kupewa credit yeyote juu ya huu wimboCopy n paste[emoji706][emoji706][emoji706] unless wew ndo mwandishi wahii story twitter
Kwa kifup kingereza kinampiga chenga ndugu mwandishBonge la jibu...
Ila Kwa kuongezea tu mbona Ile chorus ipo tofauti na wewe ulichokiandika... Hebu turejee chorus yenyewe, kama itapendeza tuanze na Ile intro iliyochafuliwa na genius mmoja wa kuitwa Mr. Hudson
Let's dance in style, let's dance for a while
Heaven can wait, we're only watching the skies
Hoping for the best but expecting the worst
Are you gonna drop the bomb or not?
Let us die young or let us live forever
We don't have the power but we never say never
Sitting in a sandpit, life is a short trip
The music's for the sad men
Can you imagine when this race is won
Turn our golden faces into the sun
Praising our leaders, we're getting in tune
The music's played by the, the mad man
Forever young
I want to be forever young
Do you really want to live forever?
Forever, and ever
Forever young
I want to be forever young
Do you really want to live forever?
Forever young
Ukisoma hizo lyrics Kwa Makini mbona Jay z hajizungumzii yeye kua "forever Jay Z" yaani kama young = Jay Z yaani nickname. Lakini ipo clear anazungumzia kuishi huku akiwa "Young" kama kijana au Mimi ndo sielewi??
Maelezo yako bado hayajanishawishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamwambie mbunge wako Babu Tale akuchambulie.
Anapewa credit kwa maneno (rhymes) sio beat. Alicho-rap Jay hakipo kwenye original song.Wimbo wenyewe Jay z alicopy na kupaste ko hatakiwi kupewa credit yeyote juu ya huu wimbo
Alikopy wapi mzeeWimbo wenyewe Jay z alicopy na kupaste ko hatakiwi kupewa credit yeyote juu ya huu wimbo
Bonge la jibu...