SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Zamani, nilikua namchukulia simple sana Lil Wayne. Ila ilipofika kwenye drop the world, nikajilaumu kwanini sikumzingatia mapema hasa lyrics zake.Kuna ngoma mbili tu nadhan sitoacha kuzisikiliza.
1) DROP THE WORLD ya Lil Wayne
Hii nikiwa kwenye mitulinga, napambana
2)FOREVER YOUNG ya Jay Z, hii nikiwa nimeamua kuenjoy maisha
Nadhani ile flow yake na swagg za unyamwezi mwingi, ndio zimefanya watu wengi tuishie kuoverlook lyrics zake. Ila mzee, Lil Wayne ni lyrical genius.
Drop the world naisikiliza kila siku. Unyama aliofanya mule sio wa kawaida.
Back to the topic, forever young ilikua inazungumzia legacy. Hov anaamini ametengeneza jina ambalo hata muda hautaweza kulifuta. Ni moja kati ya ngoma zangu pendwa kutoka kwa Jay Z.