Je, unafanyaje ukiwa umepigiwa full light barabarani?

Vaa miwani za kuendeshea gari usiku utopata shida hio.maana sio wote ni wastaarabu, hata jua lishuke machoni mwako huwezi athirika. Utawacontrol wangapi wapunguze mwanga. Mtu anaitafuta Dar awahi foleni bandarini kajifungia kwenye cabin kakoka bangi cabin nzima moshi kaweka music kama yupo club anakula vibe fully light kwa taa hizi za kichina atakuelewa wewe na gari yako ndogo.
 
Pia huku unguja hamn madereva 75% hawazingatii kanuni za udereva hasa kuendesh magar 3
 
Kama kuna madereva wa Ma bass ya Abood na Bm safari za Moro Dar.
Hawa ndio huwa wana mwanga mkali sanaa na hawaeshimu magari madogo
Kweli aisee, Jamaa wa Abood ya Moro - Dar alisababisha nichane tairi pale Bwawani Morogoro, lami ilikuwa imetepeta na kutengeneza kamtaro hivi, sasa yeye ameovateki bila tahadhari anakuja kukutana na mimi kwenye lane yangu analazimisha nimpishe, kutii amri nikaamua kutanua kumbe ndio naichana tairi kwenye lami iliyojitengeneza kama kisu, hapo ni usiku nahangaika kubadili tairi wao wanaendelea na safari yao, nilisikitika sana. Hasara ya kununua tairi mpya sababu ya ubabe wa wenye basi.
 
[emoji28][emoji28]
 
Hiiyo ilikuta mara kwanz ilikuw roli iko mwendo tuu taa inawaka upande wa kushoto tuu asee nkajua ni pkpk mkuu asee tuliachana sm1 tuu maan jamaa hakusogea na mimi nikajua n pkpk
Mazee ni pale unapokutana na gari inataa Moja tu. Bad experience
 
Hizo miwan zinapatkn wap na bei elekez?
 
Hizo miwan zinapatkn wap na bei elekez?
Nenda maduka ya miwani zimejaa tele au hata maduka ya urembo wa magari utazipata kuanzia elf 40
 

Attachments

  • Screenshot_20221218_100747.jpg
    104.8 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221218_100728.jpg
    110.3 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221218_100718.jpg
    94.7 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221218_100612.jpg
    101.6 KB · Views: 10
Kwann uharibu macho yako usiku au mchana kwenye jua ukidrive wakati miwani zipo. Zipo za kuendeshea mchana na usiku zinazuia mwanga usiumie macho.
 
Je ukikutana na Lori mwenzio utamfanyia hivyo hivyo barabarani heshimuni kila mtu mkuu.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app

Lory mwenzangu naibia ibia kidogo kwanza tunaonyeshana ishara(madereva wa malori tunajuana) unamwashia endike kidogo anakuachia ki uwazi mnapigia hone kama ishara ya kusalimiana safari inaendelea
 
Huwa ni Mungu tu kwakweli,mimi huwa napunguza speed kidogo tu kwa tahadhari,ila mara nyingi huwa nanyoosha,kiukweli ni hatari sana maana inakuwa huoni kabisa.Hiyo trick yako ya kuhakikisha gari iko kati ya mstari wa kulia na kushoto hata mimi ndio naitumia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…