Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa, naacha.Karne hii kijana hujui kuendesha gari acha ufala.
Nikihitaji kubadilisha haligen light to LED au laserlight natakiwa kufanya nini.View attachment 2420107View attachment 2420108View attachment 2420109
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Tembea na kioo kisha mgeuzie mwanga umrudie aingie mtaroniKuna mwingine una mpigia pass apunguze anagoma imagine unafanyaje mkuu
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
[emoji28] Nimecheka Sana, na ww ni dereva mkuu?Tembea na kioo kisha mgeuzie mwanga umrudie aingie mtaroni
Mtu mpumbavu unamfundisha kwa kutumia upumbavu wake[emoji28] Nimecheka Sana, na ww ni dereva mkuu?
Mimi hii kwangu ni changamoto kubwa mnooo mpaka huwa nawaza hasa pale ninapoendesha kwenye highway ya njia moja. Kwa sababu huwa nabaki na giza kwa sekunde chache. ila taadhari ambayo huwa nachukuwa ni kupunguaza mwendo mapema alafu naenda na chaki.
Ukweli nachukia kuendesha gari usiku hasa huku unguja ndo hawajui kama kuna kubadilisha taa. Alafu wengi wanafunga bulb hizi za mwanga mkali njia ndogo basi balaa tu.
Pita mwenge pale kwa Dr Toyota utazipata mkuu.
Kweli aisee, Jamaa wa Abood ya Moro - Dar alisababisha nichane tairi pale Bwawani Morogoro, lami ilikuwa imetepeta na kutengeneza kamtaro hivi, sasa yeye ameovateki bila tahadhari anakuja kukutana na mimi kwenye lane yangu analazimisha nimpishe, kutii amri nikaamua kutanua kumbe ndio naichana tairi kwenye lami iliyojitengeneza kama kisu, hapo ni usiku nahangaika kubadili tairi wao wanaendelea na safari yao, nilisikitika sana. Hasara ya kununua tairi mpya sababu ya ubabe wa wenye basi.Kama kuna madereva wa Ma bass ya Abood na Bm safari za Moro Dar.
Hawa ndio huwa wana mwanga mkali sanaa na hawaeshimu magari madogo
Unapunguza zako unawasha packing alafu unapaki pembeni kwa mda hadi mkubwa apite.ukijifanya unakomaa dereva kama mimi nina tone 32 nyuma nishaweka gari kati kati ya chaki niko gear ya 14 high kitu kina nesanesa eti nirudi kwangu ghafla ili tela ivute nichochore?hapana kwa kweli Mungu atanisamehe maana nikiangalia ushahidi hamna alafu ndio usiku wewe uko na ka ai esi tii kako watakuja kukutindua na tindo kukuokoa au kukupeleka kwenye kabati la mbeho
Mazee ni pale unapokutana na gari inataa Moja tu. Bad experience
Vaa miwani za kuendeshea gari usiku utopata shida hio.maana sio wote ni wastaarabu, hata jua lishuke machoni mwako huwezi athirika. Utawacontrol wangapi wapunguze mwanga. Mtu anaitafuta Dar awahi foleni bandarini kajifungia kwenye cabin kakoka bangi cabin nzima moshi kaweka music kama yupo club anakula vibe fully light kwa taa hizi za kichina atakuelewa wewe na gari yako ndogo.
Nenda maduka ya miwani zimejaa tele au hata maduka ya urembo wa magari utazipata kuanzia elf 40Hizo miwan zinapatkn wap na bei elekez?
Je ukikutana na Lori mwenzio utamfanyia hivyo hivyo barabarani heshimuni kila mtu mkuu.
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Huwa ni Mungu tu kwakweli,mimi huwa napunguza speed kidogo tu kwa tahadhari,ila mara nyingi huwa nanyoosha,kiukweli ni hatari sana maana inakuwa huoni kabisa.Hiyo trick yako ya kuhakikisha gari iko kati ya mstari wa kulia na kushoto hata mimi ndio naitumia...Una uzoefu wa kuendesha gari highway usiku?
Embu nipe experience yako pale unapokuwa na gari ndogo kisha ukapishana na Lori ambalo limewasha full light.
Kile kipande cha sekunde chache mnapopishana huwa unaona au unaenda kwa uwezo wa Mungu tu?
Kuna ule mchezo road unapishana na mtu unapigia pass apunguze mwanga wa lakini ha-respond Hadi mnapishana.
Hapunguzi nawapongeza madereva malori huwa ni wastaarabu Sana.. upande wangu huwa nafanya vitu hivi nikiona mwenzangu hapunguzi mwanga
1.Napunguza mwendo
2. Sitazami lori, naangalia mstari wa pembeni nje ya barabara, naweka tairi za kushoto kwenye line.
3. Kama mstari wa nje haupo, natumia wa katikati, nahakikisha sitembei
Mwendo nakuwa mdogo mdogo sizidi 50kmph
.View attachment 2420048
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
View attachment 2420096
View attachment 2420097