Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Wewe ndo utujibu mkuu,ni kama una uelewa mpana na suala hiliKufikiri ni kitendo cha namna gani? Ni vipi tunaweza kufikiri na sio ku imagine au ku visualize?
😀😀😀😀Hivi usingizi hua unatoshaje kwa kichwa cha kuku?
Mkuu naweza nikawa najua lakini sio sana, na wewe eleza unaelewa nini kuhusu kitendo cha kufikiri?Wewe ndo utujibu mkuu,ni kama una uelewa mpana na suala hili
Mkuu kwani usingizi unachukua nafasi au ujazo kwenye vichwa vya viumbe?Hivi usingizi hua unatoshaje kwa kichwa cha kuku?
Mkuu nadhani hiyo ni tofauti na kufikiri, labda utoe mfano mwingineKUFIKIRI NI KUTAKA KUCHUKUA MADARAKA YA HII NCHI WAKATI KWENU HAMNA HATA PIKIPIKI
#KAZI KWELI KWELI/JOBTRUETRUE
Introvets ni watu hatari zaidi duniani.Namna kichwa kinafanya kazi ni kitu cha ajabu sana. Imagine umekaa chini na unaandika vitu vipya lakini vitu vinaflow tu pasipo muda wa kufikiri
Lakini kuwa na muda wa kujisikiliza zaidi inategemeana na asili ya mtu. Kuna watu extroverts ambao wao muda mwingine huchangamana na watu wengine ili wapate ile stability ya kiakili na kihisia.
Huku kwa upande mwingine introverts huzungumza na nafsi zao zaidi kuliko wanavyozungumza na watu wa nje kutokana na asili yao ya kutopenda kuchangamana na watu
Mkuu lakini kila mtu ana uwezo wa kufikiri, ni sababu gani humfanya mtu kushindwa kufikiri na kuishia kujisikiliza nafsi yake mwenyewe?Namna kichwa kinafanya kazi ni kitu cha ajabu sana. Imagine umekaa chini na unaandika vitu vipya lakini vitu vinaflow tu pasipo muda wa kufikiri
Lakini kuwa na muda wa kujisikiliza zaidi inategemeana na asili ya mtu. Kuna watu extroverts ambao wao muda mwingine huchangamana na watu wengine ili wapate ile stability ya kiakili na kihisia.
Huku kwa upande mwingine introverts huzungumza na nafsi zao zaidi kuliko wanavyozungumza na watu wa nje kutokana na asili yao ya kutopenda kuchangamana na watu
Introverts ni watu wenye sifa au tabia gani?Introvets ni watu hatari zaidi duniani.
Hilo ni swali philosophical, kufikiri ni nini na kuisikiliza nafsi ni niniMkuu lakini kila mtu ana uwezo wa kufikiri, ni sababu gani humfanya mtu kushindwa kufikiri na kuishia kujisikiliza nafsi yake mwenyewe?
Ni kweli lakini hata, extroverts wapo vizuri japo ile hali ya introverts kuwa peke yao muda mwingi inawafanya wawe na clarity kubwa kimawazo na kiubunifuIntrovets ni watu hatari zaidi duniani.
😄😄Hivi usingizi hua unatoshaje kwa kichwa cha kuku?
Sawa mkuu, basi naomba utofautishe japo kwa ufupi tu nipate kujifunzaHilo ni swali philosophical, kufikiri ni nini na kuisikiliza nafsi ni nini
Maana zote ni inner thoughts ila ni kwa vipi mtu anaweza zitofautisha
you have a thought in your mind about what i'm thinking, is that what i'm thinking or is what you're thinking am thinking?Kweli kifikiri sio jambo jepesi kwababu ukiamka mida ya saa moja asubuhi jua lipo kariabia kuzama, utatambua god is able to Enable the unable to be able.
Kuielewa quote nadhani inamaanishaSawa mkuu, basi naomba utofautishe japo kwa ufupi tu nipate kujifunza