Je, Unafikiri au unasikiliza mawazo yako mwenyewe?

Lakini mtu akiwa na tatizo na akikaa pekeyake mwisho anazidi kuwa na mawazo zaidi, yaani stress.

Stress au mawazo sio sawa na kufikiri kwasababu stress huambatana na hisia hasi kama maumivu na majuto.

Nadhani kufikiri ni jambo ambalo lipo katika upande wa hisia chanya na huambatana na hisia chanya kama kubuni, kupangilia mambo na kufanya maamuzi.
 
You have a point ila kila kitu huwa kwa kiasi, hivyo unapofikiria kupita kiasi unaweza sababisha shida kuzaa shida nyingine kama depression

Japo hiyo muda mwingine husababishwa na majuto au matarajio kuwa tofauti na uhalisia.

Hivyo yawezekana tafakuri chanya zikaleta matokeo na zile negative zikasumbua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…