Je, unafikiria nini baada ya LaLiga kuipongeza Yanga baada kuchukua ubingwa

Nadhani umekubali kuwa ....Wakubwa huwa wanakaa pamoja...
 
Acha makasiriko mkuu.....wape respect..for what WANANCHI they deserved
 
Kuna haja gani kumpongeza mtu lakini unataka yeye tu ajue?

Iko hivi laliga wamewapost yanga.

Lakini wamelimit, post hiyo haionekani popote ila Bongo tu.

Kwa majaribio Washa VPN afu kaangalie kama ile post utaikuta.
 
Kuna haja gani kumpongeza mtu lakini unataka yeye tu ajue?
Iko hivi laliga wamewapost yanga.....
Lakini wamelimit, post hiyo haionekani popote ila Bongo tu.
Kwa majaribio Washa VPN afu kaangalie kama ile post utaikuta.
Awapi wewe...unajua nipo nchi gani now?... Afu bado hyo post naiona
 
Kuna haja gani kumpongeza mtu lakini unataka yeye tu ajue?
Iko hivi laliga wamewapost yanga.....
Lakini wamelimit, post hiyo haionekani popote ila Bongo tu.
Kwa majaribio Washa VPN afu kaangalie kama ile post utaikuta.
Nipo hapa Glasgow, na wqla situmii VPN, nimeperuzi katika page ya La Liga nimeiona clear kabisa post inayopongezwa Yanga
 
Yanga na laliga wana mkataba Unahusu nini mie sijui.....
Alichofanya ni kumpongeza partner wake....
Ubaya ni kuwa kwa nini alimit.
Npo California but nmeiona hii post.....so una maanisha wamelimit nchi gan mkuu?
 
Unaweza kuwa Bujumbura mkuu....
Huo ndio uhalisia, sina cha kupata nikidanganya.......
Update.
Naona saiv wameachia mkuu....
Inaonekana duniani kote, wameshtukia kuwa mmejua.
Sajlini wachezaji. Wakali....achaneni na wazee....kina BOCCO
..kagere mtafika kwny ukubwa wa YANGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…