Je, unafikiria nini baada ya LaLiga kuipongeza Yanga baada kuchukua ubingwa

Je, unafikiria nini baada ya LaLiga kuipongeza Yanga baada kuchukua ubingwa

Laliga ni consultant wa Yanga katika swala la transformation kumbuka hata katiba mpya ya yanga imekuwa consulted na laliga na Ilibidi Yanga walipe laliga dola milioni moja sawa na bilioni 2 ikiwa ni gharama ya consultancy katika kipindi chote cha transformation
Nadhani umekubali kuwa ....Wakubwa huwa wanakaa pamoja...
 
Boss social media zote kubwa if im mot mistaken simba inaongoza kwa followers

Yanga mliingia ka mkataba na laliga sijui kuhusu nini huko ndo maana mmepongezwa haikuja hivihivi mkubwa

Unaongelea mashabiki wengi afu simba ndo wanafatwa na tiktok si mngefatwa nyie machura
Boss yani wanayanga muache porojo misimu kibao unacheza nje unaishia preliminary afu unajisifu una mashabiki wengi. Hao mashabiki wamekuonea wapi mapinduzi au?
Misimu minne iliyopita bingwa mimi sasa sijui shida huu ujasiri wa kuleta ugomvi wa mawe na una nyumbaya vioo unaupatia wapi

Maaan go to sleep
Mnajifanya mna hamasa ya kwenda kimataifa huku rivers akikutekenya tu unaachia
Acha makasiriko mkuu.....wape respect..for what WANANCHI they deserved
 
Kuna haja gani kumpongeza mtu lakini unataka yeye tu ajue?

Iko hivi laliga wamewapost yanga.

Lakini wamelimit, post hiyo haionekani popote ila Bongo tu.

Kwa majaribio Washa VPN afu kaangalie kama ile post utaikuta.
 
Kuna haja gani kumpongeza mtu lakini unataka yeye tu ajue?
Iko hivi laliga wamewapost yanga.....
Lakini wamelimit, post hiyo haionekani popote ila Bongo tu.
Kwa majaribio Washa VPN afu kaangalie kama ile post utaikuta.
Awapi wewe...unajua nipo nchi gani now?... Afu bado hyo post naiona
 
Kuna haja gani kumpongeza mtu lakini unataka yeye tu ajue?
Iko hivi laliga wamewapost yanga.....
Lakini wamelimit, post hiyo haionekani popote ila Bongo tu.
Kwa majaribio Washa VPN afu kaangalie kama ile post utaikuta.
Nipo hapa Glasgow, na wqla situmii VPN, nimeperuzi katika page ya La Liga nimeiona clear kabisa post inayopongezwa Yanga
 
Yanga na laliga wana mkataba Unahusu nini mie sijui.....
Alichofanya ni kumpongeza partner wake....
Ubaya ni kuwa kwa nini alimit.
Npo California but nmeiona hii post.....so una maanisha wamelimit nchi gan mkuu?
 
Unaweza kuwa Bujumbura mkuu....
Huo ndio uhalisia, sina cha kupata nikidanganya.......
Update.
Naona saiv wameachia mkuu....
Inaonekana duniani kote, wameshtukia kuwa mmejua.
Sajlini wachezaji. Wakali....achaneni na wazee....kina BOCCO
..kagere mtafika kwny ukubwa wa YANGA
 
Back
Top Bottom