Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani umekubali kuwa ....Wakubwa huwa wanakaa pamoja...Laliga ni consultant wa Yanga katika swala la transformation kumbuka hata katiba mpya ya yanga imekuwa consulted na laliga na Ilibidi Yanga walipe laliga dola milioni moja sawa na bilioni 2 ikiwa ni gharama ya consultancy katika kipindi chote cha transformation
Acha makasiriko mkuu.....wape respect..for what WANANCHI they deservedBoss social media zote kubwa if im mot mistaken simba inaongoza kwa followers
Yanga mliingia ka mkataba na laliga sijui kuhusu nini huko ndo maana mmepongezwa haikuja hivihivi mkubwa
Unaongelea mashabiki wengi afu simba ndo wanafatwa na tiktok si mngefatwa nyie machura
Boss yani wanayanga muache porojo misimu kibao unacheza nje unaishia preliminary afu unajisifu una mashabiki wengi. Hao mashabiki wamekuonea wapi mapinduzi au?
Misimu minne iliyopita bingwa mimi sasa sijui shida huu ujasiri wa kuleta ugomvi wa mawe na una nyumbaya vioo unaupatia wapi
Maaan go to sleep
Mnajifanya mna hamasa ya kwenda kimataifa huku rivers akikutekenya tu unaachia
Upo na katimu kako hakapo hata top 20 fifaTatizo ni KOLO wizard [emoji23][emoji23]
Awapi wewe...unajua nipo nchi gani now?... Afu bado hyo post naionaKuna haja gani kumpongeza mtu lakini unataka yeye tu ajue?
Iko hivi laliga wamewapost yanga.....
Lakini wamelimit, post hiyo haionekani popote ila Bongo tu.
Kwa majaribio Washa VPN afu kaangalie kama ile post utaikuta.
Yanga na laliga wana mkataba Unahusu nini mie sijui.....Kuwa recognized na LaLiga....Ni Kitu cha kijinga.....?. Tuanzie hapa
Unaweza kuwa Bujumbura mkuu....Awapi wewe...unajua nipo nchi gani now?... Afu bado hyo post naiona
Yanga ni kitu kizito chenye ncha kali mlichopigwa nacho msimu huuYanga ndio kitu gan?
Nipo hapa Glasgow, na wqla situmii VPN, nimeperuzi katika page ya La Liga nimeiona clear kabisa post inayopongezwa YangaKuna haja gani kumpongeza mtu lakini unataka yeye tu ajue?
Iko hivi laliga wamewapost yanga.....
Lakini wamelimit, post hiyo haionekani popote ila Bongo tu.
Kwa majaribio Washa VPN afu kaangalie kama ile post utaikuta.
Sajlini wachezaji. Wakali....achaneni na wazee....kina BOCCOUnaweza kuwa Bujumbura mkuu....
Huo ndio uhalisia, sina cha kupata nikidanganya.......
Update.
Naona saiv wameachia mkuu....
Inaonekana duniani kote, wameshtukia kuwa mmejua.