Je, unafikiria nini baada ya LaLiga kuipongeza Yanga baada kuchukua ubingwa

Je, unafikiria nini baada ya LaLiga kuipongeza Yanga baada kuchukua ubingwa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam Wana JF

Baada ya ligue Bora duniani LaLiga kuwapongeza mabingwa wa kihistoria wa NBC premier.......haya ni baadhi ya Mambo niliyaona Kama mchambuzi mahiri wa mpira nchini Tanzania
  1. Hii inaashiria ubora na ukubwa wa ligue yetu hapa africa pia unaonyesha jinsi gani hii ligue inafuatiliwa aftica na duniani kwa ujumla tofauti na tunavyojidharau
  2. Yanga Ina fan base kubwa kidunia kuliko timu yeyote hapa Tanzania .....mpaka kufikia LaLiga kuwapongeza kwa kazi kubwa waliofanya .kwani Ni timu inayokwenda kuchukua ubingwa bila kupoteza mechi hata moja duniani....Jambo hili la kupongezwa halijawahi tokea hapa TZ
  3. Linapotamkwa neno Tanzania Lina maanisha WANANCHI....ambao ni YANGA ambapo makolo unawakuta ndani yao
  4. Simba mmejitahidi kidgo kuiheshimisha ligue yetu ..kwa kumleta Pablo....ila ongezeni juhudi ......mtafika hapa tulipo.... inshallah siku moja mtapongezwa na UEFA

Sisi Kama wananchi .....tumekubali pongezi zenu LaLiga......pia na nyie hongereni kwa kuwa ligue Bora duniani

By chambuzi kutoka Tukuyu.

Screenshot_20220621-160036.jpg

FB_IMG_16558163245618975.jpg

Screenshot_20220621-160036.jpg
 
Kwani Yanga si wana mkataba na ligi ya La Liga pamoja na timu ya Sevilla. [emoji23]
 
Laliga ni consultant wa Yanga katika swala la transformation kumbuka hata katiba mpya ya yanga imekuwa consulted na laliga na Ilibidi Yanga walipe laliga dola milioni moja sawa na bilioni 2 ikiwa ni gharama ya consultancy katika kipindi chote cha transformation
 
Boss social media zote kubwa if im mot mistaken simba inaongoza kwa followers

Yanga mliingia ka mkataba na laliga sijui kuhusu nini huko ndo maana mmepongezwa haikuja hivihivi mkubwa

Unaongelea mashabiki wengi afu simba ndo wanafatwa na tiktok si mngefatwa nyie machura
Boss yani wanayanga muache porojo misimu kibao unacheza nje unaishia preliminary afu unajisifu una mashabiki wengi. Hao mashabiki wamekuonea wapi mapinduzi au?
Misimu minne iliyopita bingwa mimi sasa sijui shida huu ujasiri wa kuleta ugomvi wa mawe na una nyumbaya vioo unaupatia wapi

Maaan go to sleep
Mnajifanya mna hamasa ya kwenda kimataifa huku rivers akikutekenya tu unaachia
 
Salaam Wana JF

Baada ya ligue Bora duniani LaLiga kuwapongeza mabingwa wa kihistoria wa NBC premier.......haya ni baadhi ya Mambo niliyaona Kama mchambuzi mahiri wa mpira nchini Tanzania
  1. Hii inaashiria ubora na ukubwa wa ligue yetu hapa africa pia unaonyesha jinsi gani hii ligue inafuatiliwa aftica na duniani kwa ujumla tofauti na tunavyojidharau
  2. Yanga Ina fan base kubwa kidunia kuliko timu yeyote hapa Tanzania .....mpaka kufikia LaLiga kuwapongeza kwa kazi kubwa waliofanya .kwani Ni timu inayokwenda kuchukua ubingwa bila kupoteza mechi hata moja duniani....Jambo hili la kupongezwa halijawahi tokea hapa TZ
  3. Linapotamkwa neno Tanzania Lina maanisha WANANCHI....ambao ni YANGA ambapo makolo unawakuta ndani yao
  4. Simba mmejitahidi kidgo kuiheshimisha ligue yetu ..kwa kumleta Pablo....ila ongezeni juhudi ......mtafika hapa tulipo.... inshallah siku moja mtapongezwa na UEFA

Sisi Kama wananchi .....tumekubali pongezi zenu LaLiga......pia na nyie hongereni kwa kuwa ligue Bora duniani

By chambuzi kutoka Tukuyu......
View attachment 2267740
View attachment 2267734
Siajajua kama kichwa chako unatumia kama begi la kubebea meno
 
Ni utopolo ambao mafanikio ya mpira hudhani yanakuja kwa fitina,matokeo yake ni kutia aibu wakitoka nje ya mipaka ya tanzania.
LaLiga......hawajui kuwa Kuna kikundi cha Simba... Africa.....they know YANGA ....only[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom