Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Salaam Wana JF
Baada ya ligue Bora duniani LaLiga kuwapongeza mabingwa wa kihistoria wa NBC premier.......haya ni baadhi ya Mambo niliyaona Kama mchambuzi mahiri wa mpira nchini Tanzania
Sisi Kama wananchi .....tumekubali pongezi zenu LaLiga......pia na nyie hongereni kwa kuwa ligue Bora duniani
By chambuzi kutoka Tukuyu.
Baada ya ligue Bora duniani LaLiga kuwapongeza mabingwa wa kihistoria wa NBC premier.......haya ni baadhi ya Mambo niliyaona Kama mchambuzi mahiri wa mpira nchini Tanzania
- Hii inaashiria ubora na ukubwa wa ligue yetu hapa africa pia unaonyesha jinsi gani hii ligue inafuatiliwa aftica na duniani kwa ujumla tofauti na tunavyojidharau
- Yanga Ina fan base kubwa kidunia kuliko timu yeyote hapa Tanzania .....mpaka kufikia LaLiga kuwapongeza kwa kazi kubwa waliofanya .kwani Ni timu inayokwenda kuchukua ubingwa bila kupoteza mechi hata moja duniani....Jambo hili la kupongezwa halijawahi tokea hapa TZ
- Linapotamkwa neno Tanzania Lina maanisha WANANCHI....ambao ni YANGA ambapo makolo unawakuta ndani yao
- Simba mmejitahidi kidgo kuiheshimisha ligue yetu ..kwa kumleta Pablo....ila ongezeni juhudi ......mtafika hapa tulipo.... inshallah siku moja mtapongezwa na UEFA
Sisi Kama wananchi .....tumekubali pongezi zenu LaLiga......pia na nyie hongereni kwa kuwa ligue Bora duniani
By chambuzi kutoka Tukuyu.