Je, Unafikiriaje kuanzishwa kwa Sarafu Mpya kwa Nchi za BRICS italeta manufaa?

Zulu Man Tz

Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
73
Reaction score
99
Sarafu Mpya kwa Nchi za BRICS.

Nchi za BRICS zinaripotiwa kufanya kazi katika kuunda aina mpya ya sarafu na mpango wa kuwasilisha maendeleo yake katika mkutano wa kilele wa viongozi wa BRICS mnamo Agosti mwaka huu, Naibu Mwenyekiti wa Jimbo la Duma Alexander Babakov alisema Alhamisi kando ya Jukwaa la Biashara la India na Urusi huko New Delhi.
images (7).jpeg

Kongamano hili linaashiria kuanza kwa matukio ya kimataifa katika Kongamano la Kiuchumi la Kimataifa la St. Petersburg 2023. Afisa huyo mkuu wa Urusi alinukuliwa akisema:

"Mpito kwa makazi katika sarafu za kitaifa ni hatua ya kwanza. Inayofuata ni kutoa mzunguko wa dijiti au aina nyingine yoyote ya sarafu mpya katika siku za usoni."

Kwa mujibu wa waziri wa mambo ya nje ya Urusi aitwae Sergey Lavrov alisema kuna Nchi nyingi takribani 20 zimeonyesha nia ya kujiunga na jumuiya hiyo ya kiuchumi, zikiwemo Argentina, Iran, Indonesia, Mexico, UAE, Uturuki, Saudi Arabia, Algeria, Misri na Nchi nyingi za Afrika. Afrika Kusini itakuwa mwenyeji wa mkutano ujao wa BRICS mwezi Agosti, 2023 ambapo waliotuma maombi ya kujiunga na umoja huo yatajadiliwa.
ED-putin.jpg

Masuluhisho kwa sarafu ya kitaifa yameanza miongoni mwa mataifa ya BRICS. Hivi majuzi, Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa China Xi Jinping walikubaliana kupitisha Yuan ya Uchina kama sarafu ya makazi na nchi zinazoinukia kiuchumi. Serikali ya China pia imetia saini mkataba wa pande mbili na Brazil kuwezesha biashara kwa kutumia sarafu zao za kitaifa.

Tujadiliane sasa ili jambo mnalionaje ndugu zangu, USA na washirika wake wa EU wataendeleza sanctions amah!!!?
 
BRICS membership ina tumia muda mrefu sana mpaka kuwa approved

I think they will come up with new name"BRICS+"
 
Sarafu Mpya kwa Nchi za BRICS.

Nchi za BRICS zinaripotiwa kufanya kazi katika kuunda aina mpya ya sarafu na mpango wa kuwasilisha maendeleo yake katika mkutano wa kilele wa viongozi wa BRICS mnamo Agosti mwaka huu, Naibu Mwenyekiti wa Jimbo la Duma Alexander Babakov alisema Alhamisi kando ya Jukwaa la Biashara la India na Urusi huko New Delhi.
View attachment 2573724
Kongamano hili linaashiria kuanza kwa matukio ya kimataifa katika Kongamano la Kiuchumi la Kimataifa la St. Petersburg 2023. Afisa huyo mkuu wa Urusi alinukuliwa akisema:

"Mpito kwa makazi katika sarafu za kitaifa ni hatua ya kwanza. Inayofuata ni kutoa mzunguko wa dijiti au aina nyingine yoyote ya sarafu mpya katika siku za usoni."

Kwa mujibu wa waziri wa mambo ya nje ya Urusi aitwae Sergey Lavrov alisema kuna Nchi nyingi takribani 20 zimeonyesha nia ya kujiunga na jumuiya hiyo ya kiuchumi, zikiwemo Argentina, Iran, Indonesia, Mexico, UAE, Uturuki, Saudi Arabia, Algeria, Misri na Nchi nyingi za Afrika. Afrika Kusini itakuwa mwenyeji wa mkutano ujao wa BRICS mwezi Agosti, 2023 ambapo waliotuma maombi ya kujiunga na umoja huo yatajadiliwa.
View attachment 2573735
Masuluhisho kwa sarafu ya kitaifa yameanza miongoni mwa mataifa ya BRICS. Hivi majuzi, Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa China Xi Jinping walikubaliana kupitisha Yuan ya Uchina kama sarafu ya makazi na nchi zinazoinukia kiuchumi. Serikali ya China pia imetia saini mkataba wa pande mbili na Brazil kuwezesha biashara kwa kutumia sarafu zao za kitaifa.

Tujadiliane sasa ili jambo mnalionaje ndugu zangu, USA na washirika wake wa EU wataendeleza sanctions amah!!!?
Itaamsha vita ya 3 ya dunia kutokana na ushindani mkali kwa sababu zifuatazo:-

1. BRICS inataka ku-replace WB, IMF na WTO, ikiwezekana na ADB.

2. BRICS inataka ku-replace nguvu za sarafu za USD na EURO duniani.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
FACT CHECK: Hakuna uthibitisho wowote kuhusu hiyo picha ya pili uliyoambatanisha na maelezo yaliyomo.

Maandishi katika hiyo picha yanaeleza kwamba Putin alikaa Tanzania kwa miaka minne (1973-1977) akitoa mafunzo kwa wapigania uhuru huku katikati kukiwa na mtu anayetajwa kama Samora Machel na pembeni yake, Mnangagwa.

Fact ni kwamba, katika hiyo miaka inayotajwa, Putin alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu na alihitimu mwaka 1975, ambao ndio mwaka aliojiunga KGB, wakati wote huo akiwa USSR.

Swali la kushangaza kidogo:
Aliwezaje kuwa USSR kama mwanafunzi wa chuo kikuu na wakati huohuo akawa Tanzania akitoa mafunzo ya kijeshi kwa miaka minne?

Swali jingine:
Hiyo miaka inayotajwa kwamba alikuwa Tanzania, alitoa hayo mafunzo kama nani wakati hakuwa mwanajeshi wa ngazi yoyote ile ilhali mtu anayeonekana pichani ni mwanajeshi mwenye mavazi rasmi ya kijeshi?

Jambo jingine, wakati picha inapigwa (mwaka 1973), huyo Mnangagwa anayetajwa hapo ambaye kwa sasa ni rais wa Zimbabwe, alikuwa gerezani akitumikia kifungo cha miaka kumi tangu mwaka 1965 kwa makosa ya uhujumu uchumi ambako huko ndiko alikutana na Mugabe kisha kuunda urafiki wa karibu.

Maana yake ni kwamba, maelezo yaliyomo katika picha husika hapo si maelezo yenye ukweli wala uthibitisho wowote ule.
 
Manufaa kwa Nani ?

BRICS Countries Yes; Muuza maembe na nyanya kule Nyarutungulu ? I Doubt it.....

Anyway All Paper money eventually returns to its intrinsic value – zero.
 
Muuza maembe tena 😂 kama BRICS wako na hoja za msingi
 
FACT CHECK: Hakuna uthibitisho wowote kuhusu hiyo picha ya pili uliyoambatanisha na maelezo yaliyomo.

Maandishi katika hiyo picha yanaeleza kwamba Putin alikaa Tanzania kwa miaka minne (1973-1977) akitoa mafunzo kwa wapigania uhuru huku katikati kukiwa na mtu anayetajwa kama Samora Machel na pembeni yake, Mnangagwa.

Fact ni kwamba, katika hiyo miaka inayotajwa, Putin alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu na alihitimu mwaka 1975, ambao ndio mwaka aliojiunga KGB, wakati wote huo akiwa USSR.

Swali la kushangaza kidogo:
Aliwezaje kuwa USSR kama mwanafunzi wa chuo kikuu na wakati huohuo akawa Tanzania akitoa mafunzo ya kijeshi kwa miaka minne?

Swali jingine:
Hiyo miaka inayotajwa kwamba alikuwa Tanzania, alitoa hayo mafunzo kama nani wakati hakuwa mwanajeshi wa ngazi yoyote ile ilhali mtu anayeonekana pichani ni mwanajeshi mwenye mavazi rasmi ya kijeshi?

Jambo jingine, wakati picha inapigwa (mwaka 1973), huyo Mnangagwa anayetajwa hapo ambaye kwa sasa ni rais wa Zimbabwe, alikuwa gerezani akitumikia kifungo cha miaka kumi tangu mwaka 1965 kwa makosa ya uhujumu uchumi ambako huko ndiko alikutana na Mugabe kisha kuunda urafiki wa karibu.

Maana yake ni kwamba, maelezo yaliyomo katika picha husika hapo si maelezo yenye ukweli wala uthibitisho wowote ule.
Kiukweli hua nashangaa sana nikiona mtu anataka kuaminisha watu kitu kwa uambatanisjo wa uongo
 
Itakua hatua nzuri kwa nchi za Brics kuanza kujinasua kutoka kwenye utegemezi kwa nchi za EU na USA. Shida ni moja tu nchi za Brics kwao demokrasia ni sumu, kwaio unaweza ukawa mfumo flani ambao viongozi wataona fresh ila wananchi wasifuraishwe
 
Hizi nchi za bricks haziko makini kama nchi za ulaya,cha mhim wangeunda sarafu yao lkn kila nchi bado inataka kutumia hela yake,bado wanasafari ndefu,
Tatizo la BRICS ni muungano ambao hauna misingi ya kipekee (common interests and values) ambayo inaziunganisha hizo nchi, tofauti na miungano mingine kama vile EU ama G7.

Tofauti zao ni kubwa sana kiasi kwamba inawawia vigumu kufikia muafaka katika jambo ambalo wote watakuwa na maslahi nalo.

Ukitazama mifumo yao ya kisiasa ya ndani, ni tofauti kabisa. Tukija kwenye malengo na maslahi ya kila mmoja, uhasama ni mkubwa.

Members wawili wenye uchumi mkubwa zaidi katika huo muungano (China na India) ni mahasimu wakubwa. Migogoro ya kimipaka n.k. imepelekea ugomvi wa muda mrefu.

Je, suala lolote lile linalohitaji muafaka ambalo litaonekana kuwa na maslahi zaidi kwa China, hasimu wake (India) italikubali? Na kinyume chake pia, China itaridhia?

Tofauti, uhasama na migogoro ya aina hii ni vigumu kuleta muafaka wenye maslahi ya pamoja.
 
Itakua hatua nzuri kwa nchi za Brics kuanza kujinasua kutoka kwenye utegemezi kwa nchi za EU na USA. Shida ni moja tu nchi za Brics kwao demokrasia ni sumu, kwaio unaweza ukawa mfumo flani ambao viongozi wataona fresh ila wananchi wasifuraishwe
Yeah inawezekana ikawa hivyo, ila nilichonote kwa BRICS wao hawaingilii Uhuru wa Nchi husika kwny maamuz yake yanasimamia makubaliano yao tofaut na wale wa west
 
Tatizo la BRICS ni muungano ambao hauna misingi ya kipekee (common interests and values) ambayo inaziunganisha hizo nchi, tofauti na miungano mingine kama vile EU ama G7.

Tofauti zao ni kubwa sana kiasi kwamba inawawia vigumu kufikia muafaka katika jambo ambalo wote watakuwa na maslahi nalo.

Ukitazama mifumo yao ya kisiasa ya ndani, ni tofauti kabisa. Tukija kwenye malengo na maslahi ya kila mmoja, uhasama ni mkubwa.

Members wawili wenye uchumi mkubwa zaidi katika huo muungano (China na India) ni mahasimu wakubwa. Migogoro ya kimipaka n.k. imepelekea ugomvi wa muda mrefu.

Je, suala lolote lile linalohitaji muafaka ambalo litaonekana kuwa na maslahi zaidi kwa China, hasimu wake (India) italikubali? Na kinyume chake pia, China itaridhia?

Tofauti, uhasama na migogoro ya aina hii ni vigumu kuleta muafaka wenye maslahi ya pamoja.
Hapa kwel safar bado ndefu🤔
 
Ni muungano kama wa G7 ila wenye washirika ambao wengi wao hawafuati Demokrasia
 
Back
Top Bottom