Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Kwani taasisi za World Bank na IMF zilichukua muda gani, labda tuanzie hapo - tuachane na kasumba ya kufikiri kila kitu chenye mkono wa Urusi au Uchina ni non starter waswahili wengi atittude zao ziko hivyo hivyo - temnant of colonial mentality.BRICS membership ina tumia muda mrefu sana mpaka kuwa approved
I think they will come up with new name"BRICS+"