Je, Unafikiriaje kuanzishwa kwa Sarafu Mpya kwa Nchi za BRICS italeta manufaa?

Wamesha tepete na vigezo vinavuja vilivyo,ni matokeo ya misimamo ya Uturuki,Hungury,nawengine wengi wanagombea maamuzi ya kuburuzwa dhidi ya Ukraine 🤔
 
Ni muungano kama wa G7 ila wenye washirika ambao wengi wao hawafuati Demokrasia
Wana tofauti nyingi sana katika siasa zao. Hali inayopelekea utofauti mkubwa sana wa sera, malengo na mipango yao ya kiuchumi.

Kuna ambao ni democratic kwa kiasi fulani, huku wengine wakiwa ni authoritarian waliokamilika wenye marais wa maisha.
 
Itakua hatua nzuri kwa nchi za Brics kuanza kujinasua kutoka kwenye utegemezi kwa nchi za EU na USA. Shida ni moja tu nchi za Brics kwao demokrasia ni sumu, kwaio unaweza ukawa mfumo flani ambao viongozi wataona fresh ila wananchi wasifuraishwe
Ila Brazil na South Africa si wana practise western democracy na hata mashoga wanapata haki zote za kufanya ushenzi wao.
 
Umeelewa au umecoment tu???
Hizi nchi za bricks haziko makini kama nchi za ulaya,cha mhim wangeunda sarafu yao lkn kila nchi bado inataka kutumia hela yake,bado wanasafari ndefu,
 
Ila Brazil na South Africa si wana practise western democracy na hata mashoga wanapata haki zote za kufanya ushenzi wao.
Yah ila wakubwa wa umoja (Russia na China) wapo tofauti na hiyo na ndio wenye ushawishi zaidi kwa wengine. Sijajua itakuaje lakini
 
Kwa sababu Gani baadhi ya watu kwa utashi wao na kidemokrasia kabisa kujiamlia mlengo wao kutaka kuachana na Dola ,IMF na WB watu wengine wamzishe vita ya Dunia?
Mbona vyombo hivyo vipo Sasa hivi na havikuletwa kwa vita?
Wivu ni kitu kibaya sana,muda ukifika umefika TU.
Mida wao wa kutawala umekwisha wakubali matokeo kiungwana TU.
Mbona USD ili replace pound hakukua na vita?
Mbona euro imereplace pound hakukua na vita?
Kwa Nini itokee vita Kwa Brics kuweka sarafu itakayo replace USD na vita itokee?
 
Aisee eti tatizo la nchi za Brics ni muungano amabao Haina misingi ya kipekee amabyo inaziunganisha nchi hizo ofauti na EU pamoja na G7.
Dah.
Kuna watu mna akili sana aisee.
Yaani wewe jamaa una akili kuliko wataalamu wote wa nchi zote Tano za Brics,yaani wataalamu wa uchumi na mipango wa nchi hizo wewe umewazidi kufikiri.yaani wabunge wao,mawaziri wao,wachumi wao na wasomi wao waliokubaliana kuunda umoja huo kwako wewe ni weupe TU lakini wewe ambae naamini hata ukuu wa wilaya TU hapa kwetu huna.
Sasa ona maajabu.
EU ni muungano wa nchi zinazotokea eneo moja yaani ulaya.ingawa sio nchi zote za ulaya ni memba wa EU.
Pointi yangu hapa ni kwamba Kuna nchi ni wanachama kwa sababu TU zipo eneo hili,lakini ni masikini kuliko baadhi ya nchi za Brics.kwa hiyo sioni u special wa muungano wao zaidi ya kua wanatokea eneo moja
Mfano mzuri wa EU ni kama EA na AU.

Haya njoo kwa G7.
Huu ni umoja kama club TU na kimuundo umezidiwa hata na Brics amabo wewe unajitia kuuponda.ingawa unafanana kijiografia TU
Brics sio kama EU amabo wanatokea sehemu moja Brics imeanzishwa kwa kufuta uwakilishi wa maeneo .mfano kutokea Afrika,Amerika na Asia.

Sasa ona kituko Cha G7 hawa ni kama klabu TU.tunaambiwa ni umoja wa nchi 7 tajiri duniani.

Lakini ukiangalia Kuna nchi ziko ndani ya kundi hilo zimepitwa kiutajiri na baadhi ya nchi zilizo nje ya kundi hilo,mfano china Iko nje lakini imezipita nchi kadhaa za G7.
Urusi iliingizwa ndani ya kundi hilo,lkni ilipoitwaa krimea ikafukuzwa,Sasa hapa najiuliza kwa kuitwaa krimea Urusi ilifiriaiaka na kupoteza sifa?
Kimsingi kama iliingizwa kwa sababu ni tajiri,basi kuivamia Crimea hakuiondolei sifa yake. Ndio nikajua kundi hilo ni la kinafiki TU,mtuvmmoja akiamua Fulani aingizwe anaingizwa,mtu huyohuyo akichukizwa na mtu mwingine anaamua atolewe.

Hata hivyo kijiografia G7 inafanana TU na Brics,G7 Kuna nchi inatokea Amerika,nyingine Asia na nyingine Europe Haina tofauti na Brics.

Sasa wewe ndugu yetu unawezaje kuiona Brics Ina tatizo na haitafanikiwa?
Kama migogoro ya nchi za Brics ni issue mbona Hadi Leo wapo pamoja miaka karibu 20 Sasa?
 
Wana tofauti nyingi sana katika siasa zao. Hali inayopelekea utofauti mkubwa sana wa sera, malengo na mipango yao ya kiuchumi.

Kuna ambao ni democratic kwa kiasi fulani, huku wengine wakiwa ni authoritarian waliokamilika wenye marais wa maisha.
Kwa hiyo Brics haitafanikiwa?
Itavunjika?
Je haya mataifa yanayogombea kujiunga hawana akili?
Je Brics Ina umri Gani Sasa hivi?
 
Ndugu mtoa mada nakuhakikishia kua Brics inaenda kua umoja mkubwa sana hapa duniani na utakua umoja fair kabisa kuliko umoja zote za kinyonyaji zilozoanzishwa.
Sarafu ya Brics inaenda kupokelewa kwa furaha na mataifa mengi sana hapa duniani kwa sababu sio sarafu ya kinyonyaji na ya kikandamizani kama USD .sarafu ya USD iliyumika kama fimbo.sarafu ya Brics ni ya Dunia nzima.
Hata ukiangalia muundo wa umoja wa Brics ulianza kwa uwakilishi,wapo memba kutoka Amerika ,Afrika ,Asia na east Europe.
Hakuna unyanyasaji ndani ya Brics na ndio maana Sasa Kuna wimbi kubwa mno la nchi zilizoomba kujiunga na Brics.
Sarafu itakayoundwa na Brics itakua na sura ya sarafu halali ya kidunia kwa sababu ya uwakilishi na nchi nyingi zimejitokeza kujiunga bila shuruti.

Hebu fikiria Afrika tunawakilishwa na south Afrika ndani ya Brics na Kuna nchi nyingine za Afrika zitaomba kujiunga huko tuendako.

Pia mtoa mada subiri mwezi august Brics inaenda kusajili wanachama wapya huko south Afrika.

Hivi nchi kama Soud Arabia,Iran, Argentina Algeria, turkey na nchi kibao zinaweza kua na Viongozi wajinga kweli kutaka kujiunga na Brics?
 
Common interest ni kuondoa Unipolar world kwenda Multipolarity. Kila mtu aheshimiwe sio mtu akikuazima mkopo anakufosi uwe shoga au ugombane na majirani
 
Labda nami nikuulize; iliwezekanaje Mseveni kuwa mwanafunzi wa chuo kikuu Cha Dar es salaam, huku akiongoza kikosi cha waasi huko msumbiji na kushiriki operation mbalimbali na baadaye kuweza kufanya mapinduzi yaliyo muweka madarakani Uganda?

Nikwambie tu Kwenye ulimwengu huu wa ujasusi kila kitu kinawezekana, ikiwemo utumiaji wa fake identity. Mtu aweza onekana kuwa ni mwanafunzi, muuguzi au mwalimu lakini kumbe bonge la jasusi. Anaweza tumia identity ya uanafunzi kusafiri overseas ikidhaniwa anaenda kufanya research kumbe mamlaka zimetaarifiwa kuwa huyo ndo kitengo chenyewe, mpeni kila aina ya ushirikiano. Na hii hufanyika ili kuepusha hujuma iwapo huyo mtu akitambulika mapema kwa upande wa adui.
 
Acha porojo, Putin hajawahi kufika Tanzania wala hajawahi kuwa mkufunzi wa kijeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…