Kwani taasisi za World Bank na IMF zilichukua muda gani, labda tuanzie hapo - tuachane na kasumba ya kufikiri kila kitu chenye mkono wa Urusi au Uchina ni non starter waswahili wengi atittude zao ziko hivyo hivyo - temnant of colonial mentality.