Je unahitaji kujua jinsi ya kufanya Payroll na tax zake?

Nyamwi

Member
Joined
Jan 12, 2022
Posts
55
Reaction score
60
Habari wana JF,
Mimi ni Mtanzania mwenye elimu ngazi ya Degree ya biashara katika uhasibu.
Natafuta kazi ya kuandaa Payroll na tax zake monthly kama Part time kwa gharama nafuu kabisa.

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8 kwenye sector binafsi..

Napatikana kwa namba 0657940974

Karibuni sana..
 
Je kama hujaingiza pesa kwenye biashara unalipaje hiyo kodi nitapenda kupata hayo mafunzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…