Je, Unahitaji Laptop ya Bei Ndogo Alafu Refurbished?

Rabama

Member
Joined
Dec 19, 2019
Posts
89
Reaction score
62
Mwaka 2019 kabla sijaajiliwa na Company ya kuuza LAPTOP...

Siku moja nilihitaji kununua LAPTOP kwa ajili ya matumizi yangu ya Freelancer niliingia Mtandaoni na kutafuta LAPTOP kutokana na Budget yangu nilipata...


Ilikuwa ni aina ya LogiQ kwa kuwa sikuwa na uelewa mzuri kuhusu LAPTOP nilijikuta najilaumu sana na kujuta baada ya kununua hiyo LAPTOP

Maana:

•Ilikuwa na RAM & HDD ndogo
•Haikuwa na uwezo kwenye Internet

•Ili kuwa na Core ndogo na nitoleo la zamani
•Kibaya zaidi haikuwa inanifaa kwa matumizi ya kazi yangu n.k😢


Haya yote yalisababishwa na kutokuwa na uelewa wa kuchagua LAPTOP nzuri kwa ajili ya matumizi yangu

Kwaiyo baada ya kuajiliwa nilijifunza vitu vya msingi unavyo paswa kuzingatia wakaiti wa kununua Computer au LAPTOP itakayo kufaa kwa matumizi yako na Budget yako...

🛑Wasiliana nasi leo kwa ushauli na kwa maitaji ya LAPTOP nzuri...

Company name:👇🏼

•Lenovo
•Hitachi
•Hp
•Dell
•Toshiba
•Asus
•Acer

••Conditions: Refurbished

💻 Uwezo Core i3 - i7
Ram 4 na kuendelea
Rom 320Gb - 1Tb

🔋Zinakaa na chaji kuanzia masaa 4 na kuendelea.

Bei zinaanzia 399,000/= na kuendelea



✅Ambapo utapata Warranty ya mwaka 1 na
Free support and Basic Software Installation pia Free Delivery kwa DAR ES SALAAM


Call & Whatsapp
☎️0752 663 329

Tupo DAR ES SALAAM











 
Bei hujaweka sasa tutajuwaje kuwa unauza kwa bei ndogo
Bei nimeweka bei zetu zinaanzia 399,000/= na bei hii tupo kwenye msimu wa offa

Wasiliana nasi 0752 663 329
Ili uchague ni Laptop ipi umependa ili uweze kunununua

Kalibu
 
Bei nimeweka bei zetu zinaanzia 399,000/= na bei hii tupo kwenye msimu wa offa

Wasiliana nasi 0752 663 329
Ili uchague ni Laptop ipi umependa ili uweze kunununua

Kalibu
Weka picha ya hizo laptop za 399,000 na features zake
 
ila mkuu siungeweka tu 400k
 
Vipi kwa sie tusiokuwa na hiyo Whatsapp mkuu?
Msio kuwa na Whatsapp nitakutumia hapa hapa nambie unaitaji Laptop ya company gani na iwe na sifa gani? Ili niweze kukutumia mda huu uchague utakayo penda
 
Hiyo acer bei gani? Ina sifa zipi?
 
WEKA BEI na picha tuone sifa za hizo refurbished laptop au ndio dalali unatafuta watundio ulink na muhusika wa duka ,maana madalali kwa sasa wanakuja na shuhuda nyingi

sent from HUAWEI
 
 
Hp laptop, kuanzia corei3 generation ya 6
Ram 8,hdd 500
Nipe bei na picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…