Je, unahitaji mafanikio, uzima, uponyaji, ulinzi na baraka? Fanya hivi

Hapana sio wote ni wale ambao kwa imani ya kanisa katoliki wanaamini wamekuwa watakatifu, kutokana na walivyo ishi hapa duniani!

Utasikia Mt Ritha, Mt valentine, Mt Thomas hivyo!
Kweli siyo wote, kuna marehemu waliochaguliwa kuombwa? Ndo msingi wa swali.
Kwahiyo ni kweli wakatoliki huwaomba marehemu.
 
Kuna kuwaombea marehemu wapate rehema za Mwenyezi Mungu

Halafu Kuna ambao wote ni marehemu kwa mujibu wa kanisa wanaona huyu anafaa kuwa Mtakatifu na Ina stage zake it's take hata ten yrs......

Kwahiyo watakao kuwa watakatifu basi kanisa linaamini kupitia maombezi ya watakatifu hao!

Nimekujibu au bado mzee wangu
 
Inawezekana umetumia pesa nyingi, nguvu zako, akili zako na uwezo wako wote ili uwe na uzima, upate uponyaji na baraka, lakini hujaona matokeo mazuri. Usikate tamaa. Mungu ameahidi kukufanyia hayo. Nakuonyesha hapa jinsi ya kufanya ili uone ahadi za Mungu zikitimia katika maisha yako. Kiri maneno haya kwa imani. Sema hivi:

💡 Ee Mungu, kama ulivyoahidi katika Zaburi 91:16 nakiri kuwa kwa siku nyingi utanishibisha na kunionyesha wokovu wako.

💡 BWANA, kama ulivyoahidi katika kitabu cha Kutoka 15:26 kwamba nikiisikiliza kwa bidii sauti yako Mungu wangu, na kufanya yaliyo ya adili machoni pako, na kutega masikio yangu nizisikie amri zako, na kushika sheria zako zote, hutatia juu yangu maradhi yo yote; kwa kuwa Wewe ni BWANA uniponyaye. Napokea ahadi hiyo katika Jina la Yesu.

💡 Ee Mungu, umeahidi katika Zaburi 91:11-12 kwamba utaniagizia malaika zako wanilinde katika njia zangu zote. Na kwamba mikononi mwao watanichukua, nisije nikajikwaa mguu wangu; napokea ahadi hiyo katika Jina la Yesu.

💡 Baba Mungu, sawasawa na ahadi yako katika Isaya 41:10, nakiri siogopi chochote, maana Wewe u pamoja nami; sifadhaiki, kwa maana wewe ni Mungu wangu; utanitia nguvu, naam, na kunisaidia; na kunishika kwa mkono wako wa kuume wa haki yako.

💡 Ee BWANA katika Zaburi 1:1-3 umeahidi kwamba mtu asiyekwenda katika shauri la wasio haki, wala hakusimama katika njia ya wakosaji, wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria yako BWANA ndiyo impendezayo, naye huitafakari sheria yako mchana na usiku. Atakuwa kama mti uliopandwa kando ya vijito vya maji, uzaao matunda yake kwa majira yake, wala jani lake halinyauki; na kila alifanyalo litafanikiwa. Napokea ahadi hiyo kwa imani, katika Jina la Yesu Kristo.

💡 Mungu wangu, katika Kumbukumbu la Torati 28:2-6 umeahidi kwamba nisikiapo sauti yako BWANA, Mungu wangu. Utanibariki mjini, utanibariki na mashambani. Utaubariki uzao wa tumbo langu, na uzao wa nchi yangu, na uzao wa wanyama wangu, wazao wa ng'ombe zangu, na kondoo zangu. Kapu langu na chombo changu cha kukandia kitabarikiwa. Utanibariki niingiapo, utanibariki nitokapo. Napokea kwa imani baraka hizo, katika Jina la Yesu Kristo. Ameeeen.

👉 Watu wasio na maarifa ya Neno la Mungu watakucheka na kukubeza, wakisikia unakiri maneno hayo. Watakuita “mjinga.” Usiwasikilize. Kumbuka maneno tunayoyatamka kwa ulimi yana nguvu ya kuumba.

📖 "Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; na wao waupendao watakula matunda yake."
(Mithali 18:21)

📖 "Amin, nawaambia, yeyote atakayeuambia mlima huu, ‘Ng’oka ukatupwe baharini,’ wala asione shaka moyoni mwake, bali aamini kwamba hayo asemayo yatatendeka, litakuwa lake lolote alisemalo." (Marko 11:23)

📖 "Neno langu, litokalo katika kinywa changu, halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma." (Isaya 55:11)

🗣️ The power to create is in your words—speak life and watch your destiny unfold.
Mwenyezi Mungu akubariki sana
 
Mapadre wanawasomea mistari gani ya Biblia ya kuthibitisha hayo?
Kanisa katoliki misingi yake ni biblia na mapokeo, kwa ambavyo najua!

Na Kuna mambo mengi yanafanyika kupitia mapokeo hayo, ikiwa ni pamoja na Hilo la watakatifu!

Mimi ni mkatoliki pure kabisa, nimesali makanisa mengi ya kikristo kwa niliyoona niseme kuwa

Mwanadamu au muumini kwanza weka imani yako kwa Mungu, ukimjua Mungu, ukimtumainia Mungu hakika Mungu hakuachi,

Kingine ni jifunze kusali ama kuomba mwenyewe pasi na kumsubiri mchungaji au padri ukiwa na shida ndo akuombee,

Tenga muda sali, toa sadaka hasa kwa wahitaji ( biblia inasema dini iliyo safi na isiyo na doa ni yenye kuwajali mayatima, wajane, wagonjwa, masikini na kila unayeona ana uhitaji toka kwako) hiyo ndiyo dini safi, jitahidi kufunga........

Principle moja nilikuja gundua ukiwa huna njaa huwezi kumbuka kama Kuna wenye njaa!

Basi ukifunga inakupa ku concentration ya kile ulichokifungia na kukufanya uweze kulitafakari kwa kina! Maana biblia inasema Kuna mambo hayawezekani bila kufunga na kuomba!

Kingine Tuishi na watu vyema, tusiyalipe mabaya kwa ubaya bali tuyalipr kwa mema!

Hakika kwa umri huu nilionao na ninapoenda nitaishi kwenye misingi hii niliyoandika hapa na sii kufuata dhehebu ama kiongozi wangu,

Mungu nisaidie 🙏
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Inawezekana umetumia pesa nyingi, nguvu zako, akili zako na uwezo wako wote ili uwe na uzima, upate uponyaji na baraka, lakini hujaona matokeo mazuri. Usikate tamaa. Mungu ameahidi kukufanyia hayo. Nakuonyesha hapa jinsi ya kufanya ili uone ahadi za Mungu zikitimia katika maisha yako. Kiri maneno haya kwa imani. Sema hivi:

💡 Ee Mungu, kama ulivyoahidi katika Zaburi 91:16 nakiri kuwa kwa siku nyingi utanishibisha na kunionyesha wokovu wako.

💡 BWANA, kama ulivyoahidi katika kitabu cha Kutoka 15:26 kwamba nikiisikiliza kwa bidii sauti yako Mungu wangu, na kufanya yaliyo ya adili machoni pako, na kutega masikio yangu nizisikie amri zako, na kushika sheria zako zote, hutatia juu yangu maradhi yo yote; kwa kuwa Wewe ni BWANA uniponyaye. Napokea ahadi hiyo katika Jina la Yesu.

💡 Ee Mungu, umeahidi katika Zaburi 91:11-12 kwamba utaniagizia malaika zako wanilinde katika njia zangu zote. Na kwamba mikononi mwao watanichukua, nisije nikajikwaa mguu wangu; napokea ahadi hiyo katika Jina la Yesu.

💡 Baba Mungu, sawasawa na ahadi yako katika Isaya 41:10, nakiri siogopi chochote, maana Wewe u pamoja nami; sifadhaiki, kwa maana wewe ni Mungu wangu; utanitia nguvu, naam, na kunisaidia; na kunishika kwa mkono wako wa kuume wa haki yako.

💡 Ee BWANA katika Zaburi 1:1-3 umeahidi kwamba mtu asiyekwenda katika shauri la wasio haki, wala hakusimama katika njia ya wakosaji, wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria yako BWANA ndiyo impendezayo, naye huitafakari sheria yako mchana na usiku. Atakuwa kama mti uliopandwa kando ya vijito vya maji, uzaao matunda yake kwa majira yake, wala jani lake halinyauki; na kila alifanyalo litafanikiwa. Napokea ahadi hiyo kwa imani, katika Jina la Yesu Kristo.

💡 Mungu wangu, katika Kumbukumbu la Torati 28:2-6 umeahidi kwamba nisikiapo sauti yako BWANA, Mungu wangu. Utanibariki mjini, utanibariki na mashambani. Utaubariki uzao wa tumbo langu, na uzao wa nchi yangu, na uzao wa wanyama wangu, wazao wa ng'ombe zangu, na kondoo zangu. Kapu langu na chombo changu cha kukandia kitabarikiwa. Utanibariki niingiapo, utanibariki nitokapo. Napokea kwa imani baraka hizo, katika Jina la Yesu Kristo. Ameeeen.

👉 Watu wasio na maarifa ya Neno la Mungu watakucheka na kukubeza, wakisikia unakiri maneno hayo. Watakuita “mjinga.” Usiwasikilize. Kumbuka maneno tunayoyatamka kwa ulimi yana nguvu ya kuumba.

📖 "Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; na wao waupendao watakula matunda yake."
(Mithali 18:21)

📖 "Amin, nawaambia, yeyote atakayeuambia mlima huu, ‘Ng’oka ukatupwe baharini,’ wala asione shaka moyoni mwake, bali aamini kwamba hayo asemayo yatatendeka, litakuwa lake lolote alisemalo." (Marko 11:23)

📖 "Neno langu, litokalo katika kinywa changu, halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma." (Isaya 55:11)

🗣️ The power to create is in your words—speak life and watch your destiny unfold.
Hehehe
 
Back
Top Bottom