Je, unahitaji mafanikio, uzima, uponyaji, ulinzi na baraka? Fanya hivi

Pia eti wanawaomba pia? Wawasaidie?
Hapana sio wote ni wale ambao kwa imani ya kanisa katoliki wanaamini wamekuwa watakatifu, kutokana na walivyo ishi hapa duniani!

Utasikia Mt Ritha, Mt valentine, Mt Thomas hivyo!
 
Hapana sio wote ni wale ambao kwa imani ya kanisa katoliki wanaamini wamekuwa watakatifu, kutokana na walivyo ishi hapa duniani!

Utasikia Mt Ritha, Mt valentine, Mt Thomas hivyo!
Kweli siyo wote, kuna marehemu waliochaguliwa kuombwa? Ndo msingi wa swali.
Kwahiyo ni kweli wakatoliki huwaomba marehemu.
 
Kweli siyo wote, kuna marehemu waliochaguliwa kuombwa? Ndo msingi wa swali.
Kwahiyo ni kweli wakatoliki huwaomba marehemu.
Kuna kuwaombea marehemu wapate rehema za Mwenyezi Mungu

Halafu Kuna ambao wote ni marehemu kwa mujibu wa kanisa wanaona huyu anafaa kuwa Mtakatifu na Ina stage zake it's take hata ten yrs......


Kwahiyo watakao kuwa watakatifu basi kanisa linaamini kupitia maombezi ya watakatifu hao!

Nimekujibu au bado mzee wangu
 
Mwenyezi Mungu akubariki sana
 
Mapadre wanawasomea mistari gani ya Biblia ya kuthibitisha hayo?
Kanisa katoliki misingi yake ni biblia na mapokeo, kwa ambavyo najua!

Na Kuna mambo mengi yanafanyika kupitia mapokeo hayo, ikiwa ni pamoja na Hilo la watakatifu!

Mimi ni mkatoliki pure kabisa, nimesali makanisa mengi ya kikristo kwa niliyoona niseme kuwa

Mwanadamu au muumini kwanza weka imani yako kwa Mungu, ukimjua Mungu, ukimtumainia Mungu hakika Mungu hakuachi,

Kingine ni jifunze kusali ama kuomba mwenyewe pasi na kumsubiri mchungaji au padri ukiwa na shida ndo akuombee,

Tenga muda sali, toa sadaka hasa kwa wahitaji ( biblia inasema dini iliyo safi na isiyo na doa ni yenye kuwajali mayatima, wajane, wagonjwa, masikini na kila unayeona ana uhitaji toka kwako) hiyo ndiyo dini safi, jitahidi kufunga........

Principle moja nilikuja gundua ukiwa huna njaa huwezi kumbuka kama Kuna wenye njaa!

Basi ukifunga inakupa ku concentration ya kile ulichokifungia na kukufanya uweze kulitafakari kwa kina! Maana biblia inasema Kuna mambo hayawezekani bila kufunga na kuomba!

Kingine Tuishi na watu vyema, tusiyalipe mabaya kwa ubaya bali tuyalipr kwa mema!

Hakika kwa umri huu nilionao na ninapoenda nitaishi kwenye misingi hii niliyoandika hapa na sii kufuata dhehebu ama kiongozi wangu,

Mungu nisaidie ๐Ÿ™
 
Reactions: ABJ
Hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ