Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii (social media manager)

Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii (social media manager)

Tech Max

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2025
Posts
363
Reaction score
335
Kama unahitaji social media manager (msimamizi wa mitandao ya kijamii) nitakuwa naweka posti za bidhaa zako, kujibu maswali ya wateja na kazi zingine.

Bei kwa mwezi ni 150,000 Tsh

Napatikana: Dar es salaam, Mbezi
Mawasiliano: 0756704145
 
Vipi bando ni juu ya nani. Ba idadi ya posts ni ngapi per day mtandao yote au baadhi
 
Vipi bando ni juu ya nani. Ba idadi ya posts ni ngapi per day mtandao yote au baadhi
Bando juu yangu, Mitandao yote mitatu (Facebook, Instagram na TikTok), idadi ya posts kwa siku ni 10
 
Back
Top Bottom