Kutokana na Ushauri Mkubwa wa Wadau,Dada ameamua kuishusha Bei kutokana kwamba Haina fence,pia madirisha hayajakmilika Alluminium.
Nyumba Kali Sana na ni Mpya, inapangishwa.
Hipo Mbezi Mwisho kwa Yusuph,karibu na Stand ya Mkoa.
Umbali kutoka road ni Metre 50 tu.
Ina Vyumba vitatu, kimoja Master, dinning,jiko, sitting Room kubwa Sana,choo Cha public.
Maji yapo na Tank za kuhifadhia pia.
Kwa Sasa bei inataka 300×6.
Fence soon itawekwa.
Call: 0717 650800