House4Rent Je, unahitaji Nyumba ya Kupanga, Apartment ama Nyumba ya kununua? Karibu katika uzi huu

House4Rent Je, unahitaji Nyumba ya Kupanga, Apartment ama Nyumba ya kununua? Karibu katika uzi huu

Kujaza urembo rembo kwenye nyumba kunaifanya ipitwe na wakati (fashion) haraka.

Wazungu sijui huwa wanafanyaje unaweza kuona nyumba ilijengwa miaka 100 iliyopita but mpaka sasa ni nzuri,huwa napenda sana ujengaji wao
IMG_7051.jpg

IMG_7052.jpg
 
Milioni 600 ni nyingi kwa hii nyumba pamoja na kiwanja. Maeneo hayo hayo napata kiwanja kikubwa cha milioni 100 na najenga kwa milioni 400 nyumba mpya na ya kisasa. Hiyo ukiingia unakuta inanuka uvundo
 
Wazungu sijui huwa wanafanyaje unaweza kuona nyumba ilijengwa miaka 100 iliyopita but mpaka sasa ni nzuri,huwa napenda sana ujengaji waoView attachment 2231401
View attachment 2231402
Hata sisi waswahili tunaweza ila shida yetu ni wafujaji wa pesa,nyumba itapendeza pale hela inapokuwepo,lkn ikisha kata kona inakuwa ni balaa tupu.Mswahili akishakuwa na hela wanawake atakuwa nao kila uchochoro,baa zote maarufu anajulikana yeye,kwahiyo ndani ya muda mchache hela inakatika,tofauti kabisa na wahindi au waarabu kwa hapa bongo....
 
Hata sisi waswahili tunaweza ila shida yetu ni wafujaji wa pesa,nyumba itapendezeza pale hela inapokuwepo lkn ikisha kata inakuwa ni balaa tupu.Mswahili akishakuwa na hela wnawake atakuwa nao kila uchochoro,baa zote maarufu anajulikana yeye,kwahiyo ndani ya muda mchache hela inakatika,tofauti kabisa na wahindi au waarabu kwa hapa bongo....
Ni kweli kabisa mkuu [emoji848]
 
Milioni 600 ni nyingi kwa hii nyumba pamoja na kiwanja. Maeneo hayo hayo napata kiwanja kikubwa cha milioni 100 na najenga kwa milioni 400 nyumba mpya na ya kisasa. Hiyo ukiingia unakuta inanuka uvundo
Kweli ee?[emoji848]
 
Back
Top Bottom