House4Rent Je, unahitaji Nyumba ya Kupanga, Apartment ama Nyumba ya kununua? Karibu katika uzi huu

House4Rent Je, unahitaji Nyumba ya Kupanga, Apartment ama Nyumba ya kununua? Karibu katika uzi huu

Iko Kibamba Mwisho (Hondogo) - 3Kms kutoka Morogoro road.

Pamepimwa na pana beacons.

Nyumba ni very Executive yenye vyumba vitatu, 2 Master bedrooms, AC, Heaters, Garden, Paving blocks.

Imezungushwa uzio wa kisasa unaowaka taa za kisasa usiku.

Ina mabanda yako kwa mbali kwa ajili ya kufuga.

Inafaa kwa ajili ya Petrol Station, Apartments, Garage, Mall, Shule, Ofisi za kisasa, hospitali, etc.

Ina nyaraka zote halali na sio mali ya kurithi.

Mawasiliano: 0717 650800

IMG-20220516-WA0007.jpg
IMG-20220516-WA0005.jpg
IMG-20220516-WA0008.jpg
IMG-20220516-WA0011.jpg
IMG-20220516-WA0009.jpg
IMG-20220516-WA0012.jpg
IMG-20220516-WA0002.jpg
IMG-20220516-WA0006.jpg
IMG-20220516-WA0004.jpg
IMG-20220516-WA0010.jpg
IMG-20220516-WA0003.jpg
 
Kukarabati kitu kinachouzwa ni mpaka mnunuzi aoneshe Nia atoe pendekezo lake la namna ya ukarabati autakao.

Vipi ikiwa muuzaji akaikarabati na akaja mnunuzi mwengine asipende ukarabati uliofanyika?
Sahihi kabisa [emoji1666]
 
Back
Top Bottom