House4Rent Je, unahitaji Nyumba ya Kupanga, Apartment ama Nyumba ya kununua? Karibu katika uzi huu

Grand vila house, unadaiwa nabank fedha nyingi sana. Mkopo mmelipa? Nimeuliza Ili tuwasiliane na bank kulinunua kuliko kupitia kwa madalali.​

Grand vila house, unadaiwa nabank fedha nyingi sana. Mkopo mmelipa? Nimeuliza Ili tuwasiliane na bank kulinunua kuliko kupitia kwa madalali.​

Sikuelewi unazungumzia kitu gani? Kama huna lengo la kuharibu biashara yangu, hebu nipigie 0717 650800 tuzungumze [emoji1666]
 
Wazungu sijui huwa wanafanyaje unaweza kuona nyumba ilijengwa miaka 100 iliyopita but mpaka sasa ni nzuri,huwa napenda sana ujengaji waoView attachment 2231401
View attachment 2231402
Kama zile za Kennedy's Compound kule Hyannis Port,Massachusetts Marekani,zimejengwa mwaka 1904 lakini still hadi leo hii zinaonekana kama za leo aisee.
 
Kama zile za Kennedy's Compound kule Hyannis Port,Massachusetts Marekani,zimejengwa mwaka 1904 lakini still hadi leo hii zinaonekana kama za leo aisee.
Hata mm huwa sielewi wanafanya fanyaje aisee mpaka nyumba isichakae [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…