JE, UNAHITAJI UJUZI WA KOMPYUTA LAKINI MUDA WA KWENDA CHUONI NI MDOGO?

kingphisher

Senior Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
161
Reaction score
280
Katika mazingira ya kazi ya leo, ujuzi wa Microsoft Office na Excel si jambo la ziada tena bali ni hitaji muhimu kwa wafanyakazi, wafanyabiashara na wanafunzi.

Changamoto kubwa kwa wengi ni kukosa muda wa kuhudhuria mafunzo ya kawaida kutokana na majukumu ya kazi na ratiba za kila siku.

Kwa kutambua changamoto hiyo, ninatoa mafunzo ya vitendo ya Microsoft Office na Excel kwa ratiba inayokufaa wewe au taasisi yako.

👨‍🏫 MKUFUNZI:
Kelvin Leonard Mikida
Graduate in Business Information Technology Eith 3yeas of training experience

📚 MAFUNZO YANAYOTOLEWA

✅ Microsoft Office Essentials (Word, Excel & PowerPoint) – Wiki 4

✅ Microsoft Excel Basic – Wiki 2

✅ Microsoft Excel Intermediate – Wiki 2

✅ Advanced Excel for Professionals – Wiki 2

🎯 MAFUNZO HAYA YANAWAFAA:

• Wafanyakazi wa Ofisini
• Wahasibu
• Administrative Officers
• HR Officers
• Secretaries
• Wafanyabiashara
• Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu

💡 KWA NINI UCHAGUE MAFUNZO HAYA?

✔ Ratiba rafiki kwa wafanyakazi (jioni au wikendi)
✔ Mafunzo ya vitendo yanayohusiana na kazi halisi za ofisini
✔ Mafunzo kwa mtu mmoja mmoja au vikundi
✔ Mafunzo yanaweza kufanyika ofisini, nyumbani au online
✔ Cheti cha Ushiriki baada ya mafunzo

🏢 CORPORATE TRAINING

Tunatoa mafunzo maalum kwa:

• Kampuni binafsi
• NGOs
• Taasisi za Serikali
• Shule na Vyuo
• Hospitali

Mafunzo yanaweza kufanyika moja kwa moja katika ofisi za taasisi husika kulingana na ratiba yao.

💰 Ada za mafunzo ya mtu mmoja mmoja zinaanzia TZS 200,000.

📞 MAWASILIANO

📱 0620 224 372
📱 0687 516 723

📩 Wasiliana nasi leo kupata maelezo zaidi au kuomba quotation ya mafunzo kwa taasisi yako.

"Jifunze ujuzi wa kompyuta unaotumika moja kwa moja kazini na kuongeza ufanisi wa kazi zako za kila siku."
 
Dar es salaam mnapatikana wapi
NATOA ON-SITE TRAINING.. NAKUFATA OFISINI NAKUPA TRAINING MKUU.
HII PROGRAM NIMEIANDAA HASA KWA WAFANYA KAZI AMBAO WANATAKA KUJUA COMPUTER, WANATAKA WASOME ILA MUDA WA KWENDA CHUONI NI ADIMU.
 
Sawa
 
Katika mazingira ya kazi ya leo, ujuzi wa Microsoft Office na Excel si jambo la ziada tena bali ni hitaji muhimu kwa wafanyakazi, wafanyabiashara na wanafunzi.

Changamoto kubwa kwa wengi ni kukosa muda wa kuhudhuria mafunzo ya kawaida kutokana na majukumu ya kazi na ratiba za kila siku.

Kwa kutambua changamoto hiyo, ninatoa mafunzo ya vitendo ya Microsoft Office na Excel kwa ratiba inayokufaa wewe au taasisi yako.

👨‍🏫 MKUFUNZI:
Kelvin Leonard Mikida
Graduate in Business Information Technology Eith 3yeas of training experience

📚 MAFUNZO YANAYOTOLEWA

✅ Microsoft Office Essentials (Word, Excel & PowerPoint) – Wiki 4

✅ Microsoft Excel Basic – Wiki 2

✅ Microsoft Excel Intermediate – Wiki 2

✅ Advanced Excel for Professionals – Wiki 2

🎯 MAFUNZO HAYA YANAWAFAA:

• Wafanyakazi wa Ofisini
• Wahasibu
• Administrative Officers
• HR Officers
• Secretaries
• Wafanyabiashara
• Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu

💡 KWA NINI UCHAGUE MAFUNZO HAYA?

✔ Ratiba rafiki kwa wafanyakazi (jioni au wikendi)
✔ Mafunzo ya vitendo yanayohusiana na kazi halisi za ofisini
✔ Mafunzo kwa mtu mmoja mmoja au vikundi
✔ Mafunzo yanaweza kufanyika ofisini, nyumbani au online
✔ Cheti cha Ushiriki baada ya mafunzo

🏢 CORPORATE TRAINING

Tunatoa mafunzo maalum kwa:

• Kampuni binafsi
• NGOs
• Taasisi za Serikali
• Shule na Vyuo
• Hospitali

Mafunzo yanaweza kufanyika moja kwa moja katika ofisi za taasisi husika kulingana na ratiba yao.

💰 Ada za mafunzo ya mtu mmoja mmoja zinaanzia TZS 200,000.

📞 MAWASILIANO

📱 0620 224 372
📱 0687 516 723

📩 Wasiliana nasi leo kupata maelezo zaidi au kuomba quotation ya mafunzo kwa taasisi yako.

"Jifunze ujuzi wa kompyuta unaotumika moja kwa moja kazini na kuongeza ufanisi wa kazi zako za kila siku."
Wakuu naomba msaada desktop yangu ikiwaka inaonesha hivi kwenye kioo. Mouse haifanyi kazi na keyboard haibonyezeki. Please assist.
 
Attachments

  • 1000346330.jpg
    1000346330.jpg
    850.1 KB · Views: 15
Next month nakuja dsm nitakutafuta hii imekua changamoto kwangu kama hse kuandaa hizo excel nakuja tuyajenge mwanetu
 
Back
Top Bottom