IJUE MECHI YA KWANZA KUONYESHWA KWENYE TV.
Mechi ya kwanza kuonyeshwa kwenye Tv ilikua ni timu ya Arsenal vs Arsenal.
Hapo namaanisha ilikua ni mechi zidi ya kikosi A cha arsenal na kikosi B (kikosi cha akiba).
Ilikua mwaka 1937 mechi hiyo ilionyeshwa mubashara BBC.
Hivyo Arsenal ndo timu ya kwanza kuonyeshwa kwenye TV.