Je, unaifahamu mechi ya kwanza ya mpira wa miguu kuonyeshwa kwenye TV?

Je, unaifahamu mechi ya kwanza ya mpira wa miguu kuonyeshwa kwenye TV?

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
IJUE MECHI YA KWANZA KUONYESHWA KWENYE TV.

Mechi ya kwanza kuonyeshwa kwenye Tv ilikua ni timu ya Arsenal vs Arsenal.

Hapo namaanisha ilikua ni mechi zidi ya kikosi A cha arsenal na kikosi B (kikosi cha akiba).

Ilikua mwaka 1937 mechi hiyo ilionyeshwa mubashara BBC.

Hivyo Arsenal ndo timu ya kwanza kuonyeshwa kwenye TV.
 
Na Mimi ndio Mchangiaji wa kwanza kwenye Uzi huu.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom