Je, unaifikiria hatma ya Mchepuko kwa maisha ya baadaye?

Je, unaifikiria hatma ya Mchepuko kwa maisha ya baadaye?

Superb2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
9,266
Reaction score
7,426
Salamu kwenu wa JF wote!

Kwako Mwanaume mwenye Mchepuko.

Mwanaume una Mchepuko tena ni Single Mother, unamhudumia vizuri kila kitu anapata lakini hutaki afanye kazi yoyote wala Biashara huo ni wivu au ndiyo kupenda sana? Je, unafikiria hatma ya huyo Mchepuko kwa maisha ya baadaye?
 
A

Andika na kwa mchepukio pia kwakuwa madhara ni kote
 
Asanteni sana kwa kunirekebishia kichwa cha habari.
 
Mchepuko alietulia mfungulie hata kabiashara ka mil 1,ila hakikisha hyo biashara unaisimamia wewe pamoja na kuwepo yeye pale maana wengi n vichwa maji hawachelew kuua biashara na hata hawashituki wala kuogopa anajua hela za mwanaume zipogo tu za kuchezea
 
Siku hizi hata kwa vijana wasiooa huwa wanafanya kwa starehe tu ila future hakuna kwa asilimia kubwa sembuse kwa mme wa mtu...
Basi tu watu wanajitoa faham na kuwa ving'ang'anizi
 
Back
Top Bottom