Isimilo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 217
- 7
Toa mchango wako jinsi unavyoifahamu sheria ya ndoa ya Tanzania na utendaji wake?
Dondoo
Dondoo
- at which grounds ndoa itavunjwa na mgawanyo wa mali uko vipi.
- je mali zinazokuwa zimeandikwa katika jina la third part pasi kijua kwa mwanandoa mwingine zinaweza kuchukuliwa?
- ni katika circumstance zipi ndoa itavunjika.
- je mtu anaweza kuvunja ndoa kwa kuamua tu?
- je kuna fidia yoyote upande wa pili ikiwa mtu akiamua kuvunja ndoa kama ulaya ilivyo?
- ni muda upi lazima ndoa ifikishe ndipo i-qualify kuvunjwa?
- je sheria hiyo inaweza kukulazimisha kuwa katika ndoa ili hali wewe humtaki huyo mtu wa puande wapili?