Je, unaijua sheria ya ndoa?

Je, unaijua sheria ya ndoa?

Isimilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
217
Reaction score
7
Toa mchango wako jinsi unavyoifahamu sheria ya ndoa ya Tanzania na utendaji wake?

Dondoo
  1. at which grounds ndoa itavunjwa na mgawanyo wa mali uko vipi.
  2. je mali zinazokuwa zimeandikwa katika jina la third part pasi kijua kwa mwanandoa mwingine zinaweza kuchukuliwa?
  3. ni katika circumstance zipi ndoa itavunjika.
  4. je mtu anaweza kuvunja ndoa kwa kuamua tu?
  5. je kuna fidia yoyote upande wa pili ikiwa mtu akiamua kuvunja ndoa kama ulaya ilivyo?
  6. ni muda upi lazima ndoa ifikishe ndipo i-qualify kuvunjwa?
  7. je sheria hiyo inaweza kukulazimisha kuwa katika ndoa ili hali wewe humtaki huyo mtu wa puande wapili?
naomba kutoa hoja
 
Nadhani hii sijui kama ulimaanisha hivyo ilivyo,maana ninachojua kuna aina 3 za ndoa 1.Ndoa ya iliyofungwa kidini.2.Ndoa ilifungwa kiserikali.3.Ndoa iliyofungwa kimila. ndoa zote hizi zinakubalika na zinatambulika na kila moja inasheria zake na zinatofautiana sasa tutoe hoja kwenye aina ipi ya ndoa.
 
Imekaa ki-ignorance of the laws is not an excuse
 
Sheria ya ndoa ni ya mwaka 1971, ina mapungufu kibao. Haifai kabisa kutumika kwa sasa imepitwa na wakati. Inahitaji marekebisho makubwa sana lakini Wizara husika imelala tu.
 
Nazani ndoa inaweza kuvunjika kama hamuelewani mke na mme in background of kila siku nyinyi mnapenda kufanyiwa reconciliation ndani ya ndoa yenu.

another kama mmoja wenu anapenda kusikiliza maneno ya watu sana bila kufanyia uchunguzi alafu hakushilikisha katika mahamusi yake baada ya kupata maneno toka nje

hii ndio fikira yangu mimi if there more pls tell us
 
Nime-fanya follow up na kupata kitabu kimoja kiitwacho holy bible ambacho kinaelezea sheria za ndoa. Nimekiamini kwani ni kitabu cha kale kuliko vyote nilivyowahi kusoma tangu nianze kutafiti. Hizi nyingine ni anecdote tu.
 
Toa mchango wako jinsi unavyoifahamu sheria ya ndoa ya Tanzania na utendaji wake?

Dondoo
  1. at which grounds ndoa itavunjwa na mgawanyo wa mali uko vipi.
  2. je mali zinazokuwa zimeandikwa katika jina la third part pasi kijua kwa mwanandoa mwingine zinaweza kuchukuliwa?
  3. ni katika circumstance zipi ndoa itavunjika.
  4. je mtu anaweza kuvunja ndoa kwa kuamua tu?
  5. je kuna fidia yoyote upande wa pili ikiwa mtu akiamua kuvunja ndoa kama ulaya ilivyo?
  6. ni muda upi lazima ndoa ifikishe ndipo i-qualify kuvunjwa?
  7. je sheria hiyo inaweza kukulazimisha kuwa katika ndoa ili hali wewe humtaki huyo mtu wa puande wapili?
naomba kutoa hoja

In response to your questions above, kindly read the annexed PDF file/report hereunder on the law of marriage act, No. 5, 1971 as was enacted by Parliament in 1971, the enactment of the law was preceded by a countrywide discussion on Government recommendations for the new law as underlined in a Government Paper No. 1 of 1969.

http://www.lrct-tz.org/pdf/marriage.pdf

There are 38 pages.

Thanks
 
Last edited:

Mpendwa inaleta server error au ni kwangu tu?
 
Back
Top Bottom