Je Unaijua thamani Yako kama Mtu Mweusi (Mwafrika) kulingana na Quran?

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,598
Reaction score
1,294
Mishkat al-Masabih Hadith 119 inasema Allah alipomuumba Adam alipiga baga la kulia wakapatikana Wana weupe; akapiga bega la kushoto wakapatikana Wana weusi. Wana weupe akawazawadia pepo na weusi Jehanamu.

Aidha, ulipata kujua kuwa Quran inamtambulisha Mtume Mohammad kuwa mtu mweupe?
Sahih al-Bukhar Hadith 63 inasema Muhammad ni mweupe

Vile vile Quran 3:106 & 107 inawaonya wale watu wa jamii ya weupe kuwa wao wanahesabiwa kuwa ni waumini, lakini endapo wataanguka na kuwa si waumini basi siku ya kiyama watafanywa weusi na kutupwa motoni
NB: MUARABU KAMA ILIVYOKAWAIDA YAKE ALIPOTAFSIRI QURAN KWENDA ENGLISH AMEPOTOSHA MANENO white na Black ili aendelee kutupumbaza tusiojua KIARABU. MUNGU SAIDIA Uongo wao unazidi kufichuliwa kupitia TEKINOLOJIA na WAARABU ambao siku za Karibuni wameamua kumfuata YESU wa kweli badala YA ISSA WA QURAN ambaye ni FAKE JESUS
 

Attachments

  • Screenshot_20230812-174645.png
    34.9 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…