nexus
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 374
- 164
hapa tz yapo wapiNenda kwa masynagogue ya jewish
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa tz yapo wapiNenda kwa masynagogue ya jewish
Hebu muulize na hawa wagunduzi wa Africa nao walizisoma hizo Kaballah!?.
Tiririrka ndugu hatuja kusoma kabsanimesikia hauwezi kugundua kitu chochote duniani kama hujasoma kaballah.wanasayansi wote ukianzia Newton hadi Einstein wamesoma kaballah.kama unataka kuunganishwa na nuru lazima usome kaballah.Ukitaka kujifunza unatakiwa uwe na umri si chini ya miaka 40.:flame:
Huo ndio uwezo wako wa kufikiri hatukuzuiiMimi hapo kwenye sayari nilisoma tu shuleni na kuzikariri kwamba kuna upuuzi unaitwa sayari ili nifaulu paper!
Ila binafsi yangu akili inagoma kabisa kuamini uwepo wa vitu sayari na upuuzi mwingine eti zina support life!!!
Najua angani kuna Jua moja-naliona-, kuna Mwezi mmoja - nauona- na kuna nyota-naziona- tena Nyota sio jua na kamwe haziwahi kuwa ma jua vinginevyo dunia ingewaka moto.
Kaballah ni Dini ya Lady Madona hii. Aliwahi kumpeleka aliyekua rafiki yake sana wakati huo mwanamuziki Britney Spears lakini baadaye Britney akaikataa.nimesikia hauwezi kugundua kitu chochote duniani kama hujasoma kaballah.wanasayansi wote ukianzia Newton hadi Einstein wamesoma kaballah.kama unataka kuunganishwa na nuru lazima usome kaballah.Ukitaka kujifunza unatakiwa uwe na umri si chini ya miaka 40.:flame: