Je unajua caballah (tree of life)?

Je unajua caballah (tree of life)?

Mimi hapo kwenye sayari nilisoma tu shuleni na kuzikariri kwamba kuna upuuzi unaitwa sayari ili nifaulu paper!

Ila binafsi yangu akili inagoma kabisa kuamini uwepo wa vitu sayari na upuuzi mwingine eti zina support life!!!

Najua angani kuna Jua moja-naliona-, kuna Mwezi mmoja - nauona- na kuna nyota-naziona- tena Nyota sio jua na kamwe haziwahi kuwa ma jua vinginevyo dunia ingewaka moto.
 
nimesikia hauwezi kugundua kitu chochote duniani kama hujasoma kaballah.wanasayansi wote ukianzia Newton hadi Einstein wamesoma kaballah.kama unataka kuunganishwa na nuru lazima usome kaballah.Ukitaka kujifunza unatakiwa uwe na umri si chini ya miaka 40.:flame:
Tiririrka ndugu hatuja kusoma kabsa
 
Huo ndio uwezo wako wa kufikiri hatukuzuii
Dini zimewafumba macho
 
si kweli, Qaballah or Kaballah nimeisoma nikiwa 20 years old. Ni kitabu cha kawaida cha wayahudi. Maana ya Qaballah ni to "receive" yaani ni mafundisho ya siri ya kuelezea ulimwengu and how it works.
 
igwa, post: 8929720, member: 89690"]Mapepo hayo[/QUOTE]
Mbona conlusion yako ni cheap san.
 
nimesikia hauwezi kugundua kitu chochote duniani kama hujasoma kaballah.wanasayansi wote ukianzia Newton hadi Einstein wamesoma kaballah.kama unataka kuunganishwa na nuru lazima usome kaballah.Ukitaka kujifunza unatakiwa uwe na umri si chini ya miaka 40.:flame:
Kaballah ni Dini ya Lady Madona hii. Aliwahi kumpeleka aliyekua rafiki yake sana wakati huo mwanamuziki Britney Spears lakini baadaye Britney akaikataa.
Ina uhusiano na imani za Wayahudi
 
Back
Top Bottom