Je unajua caballah (tree of life)?

Mimi hapo kwenye sayari nilisoma tu shuleni na kuzikariri kwamba kuna upuuzi unaitwa sayari ili nifaulu paper!

Ila binafsi yangu akili inagoma kabisa kuamini uwepo wa vitu sayari na upuuzi mwingine eti zina support life!!!

Najua angani kuna Jua moja-naliona-, kuna Mwezi mmoja - nauona- na kuna nyota-naziona- tena Nyota sio jua na kamwe haziwahi kuwa ma jua vinginevyo dunia ingewaka moto.
 
Tiririrka ndugu hatuja kusoma kabsa
 
Huo ndio uwezo wako wa kufikiri hatukuzuii
Dini zimewafumba macho
 
Unapoteza muda wako, try to who you are.
 
si kweli, Qaballah or Kaballah nimeisoma nikiwa 20 years old. Ni kitabu cha kawaida cha wayahudi. Maana ya Qaballah ni to "receive" yaani ni mafundisho ya siri ya kuelezea ulimwengu and how it works.
 
igwa, post: 8929720, member: 89690"]Mapepo hayo[/QUOTE]
Mbona conlusion yako ni cheap san.
 
Kaballah ni Dini ya Lady Madona hii. Aliwahi kumpeleka aliyekua rafiki yake sana wakati huo mwanamuziki Britney Spears lakini baadaye Britney akaikataa.
Ina uhusiano na imani za Wayahudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…