Je unajua caballah (tree of life)?

Je unajua caballah (tree of life)?

G11

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
225
Reaction score
61
nimesikia hauwezi kugundua kitu chochote duniani kama hujasoma kaballah.wanasayansi wote ukianzia Newton hadi Einstein wamesoma kaballah.kama unataka kuunganishwa na nuru lazima usome kaballah.Ukitaka kujifunza unatakiwa uwe na umri si chini ya miaka 40.:flame:
 
Kaballah ndio nini?
 
Inafaida gani?
1.Faida zipo kujua sayari zipo tisa-Newton
2.Mwendo kasi wa nuru na matumizi katka kutambua atom zimejipangaje kwenye materials tofauti kwa kutumia electrodispersive X-ray(EDX).
3.Kufanya meditation to be connect ed with light.there are so many advantages brother
watu maarufu wanaosali hiyo dini ni kama vile Bill Clinton,Madona and so many celebrities
 
How???
 
kaballa is a Cult
 
kaballa is a Cult
Indeed it is more than that
"Kabbalah is an aspect of Torah, and Torah means "guidance" or "instructions." Everything in Kabbalah is meant as an instruction in life. We study Kabbalah not to just to reach a high, but because we need its inspiration in everyday life, and because it provides us direction and practical guidance."
source:What Is Kabbalah? - The Soul of Judaism - Essentials
 
1.Faida zipo kujua sayari zipo tisa-Newton
2.Mwendo kasi wa nuru na matumizi katka kutambua atom zimejipangaje kwenye materials tofauti kwa kutumia electrodispersive X-ray(EDX).
3.Kufanya meditation to be connect ed with light.there are so many advantages brother
watu maarufu wanaosali hiyo dini ni kama vile Bill Clinton,Madona and so many celebrities
Hivi kumbe ni dini?
 
nimesikia hauwezi kugundua kitu chochote duniani kama hujasoma kaballah.wanasayansi wote ukianzia Newton hadi Einstein wamesoma kaballah.kama unataka kuunganishwa na nuru lazima usome kaballah.Ukitaka kujifunza unatakiwa uwe na umri si chini ya miaka 40.:flame:
Sasa mkuu!!??
Pamoja na kwamba sijajua kama hiyo Kabbala ni dini au somo, nauliza tunajifunzia wapi sasa hiyo Kabbala!??, wanafundisha wapi??
 
nimesikia hauwezi kugundua kitu chochote duniani kama hujasoma kaballah.wanasayansi wote ukianzia Newton hadi Einstein wamesoma kaballah.kama unataka kuunganishwa na nuru lazima usome kaballah.Ukitaka kujifunza unatakiwa uwe na umri si chini ya miaka 40.:flame:
Jaribu kufafanua zaidi juu ya hiyo kabbalah je tutaipataje wewe umeisoma? na ikiwa umeisoma embu dadavua kuna nini ndani
 
1.Faida zipo kujua sayari zipo tisa-Newton
2.Mwendo kasi wa nuru na matumizi katka kutambua atom zimejipangaje kwenye materials tofauti kwa kutumia electrodispersive X-ray(EDX).
3.Kufanya meditation to be connect ed with light.there are so many advantages brother
watu maarufu wanaosali hiyo dini ni kama vile Bill Clinton,Madona and so many celebrities

Nimesoma namba 1 nikaamua niache tu, wewe unazungumzia sayari 9 katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia?!! Acha kusoma conspiracy theories mkuu unpoteza muda!
 
Back
Top Bottom