Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Alitumwa akanunue kiberiti,chumvi,pipi na bamia na chenji irudi.Ameenda anaimba njiani huku anacheza.Matokeo yake amefika dukani amesahau vyote na hela kadondosha njiani.Ulitaka kuandika nini? mbona umepotelea njiani? ni bora usiangeanzisha thread ambayo umeshindwa kutowa maelezo ya kutosha.
πππππ Endelea kujipa ushauri kupitia mimiUpo na msongo wa mawazo. Nenda kamuone daktari.
Huna uwezo wa kujadili wewe. Zaidi sana unachoweza ni mipasho. Nakuhurumia sana.πππππ Endelea kujipa ushauri kupitia mimi
Tehe teheDogo umeanzisha kiblog chako na unataka kupata viewers kutoka JF, I'm telling you're already failed!
Oh!!Mada/Story ingeweza kuwa nzuri sana na ya kuvutia kuisoma ili kupata maarifa.
Ila tatizo kaka umeshindwa kuiweka kwenye mpangilio mzuri.
Ni kama yako translated moja kwa moja kutoka English to Swahili.
Jifunze namna ya uandishi, hasa uwasilishaji mada. [emoji120]
Venus Star
Sawa mfalme wa ujerumaniHuna uwezo wa kujadili wewe. Zaidi sana unachoweza ni mipasho. Nakuhurumia sana.
Duh bado umekomaa?Sawa mfalme wa ujerumani
ππππππ Ndio mfalme wa ujerumaniDuh bado umekomaa?
Umri wako ni miaka mingapi?ππππππ Ndio mfalme wa ujerumani
Unateseka sana hapo ushapitia post zangu ushatamani kunijua kisa kukuita mfalme wa ujerumani hebu punguza hard feelings alafu relax miaka yangu haikusaidii chochote dogo ww pambana kujua kwa namna gani utaboresha uandishi wako na ka blog kako katapata content zinazoelewekaUmri wako ni miaka mingapi?
Umeshindwa kujibu swali?Unateseka sana hapo ushapitia post zangu ushatamani kunijua kisa kukuita mfalme wa ujerumani hebu punguza hard feelings alafu relax miaka yangu haikusaidii chochote dogo ww pambana kujua kwa namna gani utaboresha uandishi wako na ka blog kako katapata content zinazoeleweka