Je unajua dola inavyosafirishwa? Mfano unaposikia benki ya dunia wametoa msaada dola bilioni kadhaa kwa nchi husika unajua zinafikaje?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Jibu ni rahisi zinatoka New York au Washington kwa ndege mpaka kwa nchi lengwa. Ila pia ujue kutoka airport mpaka benki kuu haiwezi kabisa kutekwa maana Kuna makomandoo maalumu kwa kila nchi wanaotumiwa kusafirisha pesa. Ya kasusura ni inside job usilete ule upuuzi kwenye huu Uzi.
 
Sawa, ila hawa wanapotoa misaada ya hela ni kama wanaipa kikundi flani serikalini wagawane na kutafuna hela kirahisi, misaada kuwafikia wananchi ni ile hali ya Serikali iliotoa misaada kujenga mashule, barabara nyumba za wananchi masoko, viwanda, bandari au airport mahospitali, misaada ya vyakula madawa nk but wanapotoa hela inakua sio tena msaada bali ni kukabidhi kikundi cha wahuni hela
 
Source?.. Niamini mimi.

FATZj6wUYAca7dD.jpeg
 
Kila siku msaada lakini hamna kitu, umaskini unatisha
Kabisa, nimeeleza hapo juu, yaani ukiskia sjui Tz imepokea msaada wa sjui dollar trillions 2 yaaani hapo hapo utaskia kodi ya tozo imepanda yaani unazidi kushangaa sasa huu msaada umeenda wapi?
 
Jibu ni rahisi zinatoka New York au Washington kwa ndege mpaka kwa nchi lengwa. Ila pia ujue kutoka airport mpaka benki kuu haiwezi kabisa kutekwa maana Kuna makomandoo maalumu kwa kila nchi wanaotumiwa kusafirisha pesa. Ya kasusura ni inside job usilete ule upuuzi kwenye huu Uzi.
Acha uongon mkui siku hizi hela ziko digital.zinasafirishwa digitali tuu.makaratasi yanabaki huko huko.ni sawa na kumrushia mtu mpesa tuu au tigo pesa.au kulipa bili kwa mpesa
 
Jibu ni rahisi zinatoka New York au Washington kwa ndege mpaka kwa nchi lengwa. Ila pia ujue kutoka airport mpaka benki kuu haiwezi kabisa kutekwa maana Kuna makomandoo maalumu kwa kila nchi wanaotumiwa kusafirisha pesa. Ya kasusura ni inside job usilete ule upuuzi kwenye huu Uzi.
Hahahahahah nimecheka mistari miwili ya mwisho
 
Back
Top Bottom