Kabisa, nimeeleza hapo juu, yaani ukiskia sjui Tz imepokea msaada wa sjui dollar trillions 2 yaaani hapo hapo utaskia kodi ya tozo imepanda yaani unazidi kushangaa sasa huu msaada umeenda wapi?Kila siku msaada lakini hamna kitu, umaskini unatisha
kanafloo??
Acha uongon mkui siku hizi hela ziko digital.zinasafirishwa digitali tuu.makaratasi yanabaki huko huko.ni sawa na kumrushia mtu mpesa tuu au tigo pesa.au kulipa bili kwa mpesaJibu ni rahisi zinatoka New York au Washington kwa ndege mpaka kwa nchi lengwa. Ila pia ujue kutoka airport mpaka benki kuu haiwezi kabisa kutekwa maana Kuna makomandoo maalumu kwa kila nchi wanaotumiwa kusafirisha pesa. Ya kasusura ni inside job usilete ule upuuzi kwenye huu Uzi.
Akili mtu wangu
Akili[emoji23]Akili mtu wangu
Akili[emoji23]kanafloo??
Hahahahahah nimecheka mistari miwili ya mwishoJibu ni rahisi zinatoka New York au Washington kwa ndege mpaka kwa nchi lengwa. Ila pia ujue kutoka airport mpaka benki kuu haiwezi kabisa kutekwa maana Kuna makomandoo maalumu kwa kila nchi wanaotumiwa kusafirisha pesa. Ya kasusura ni inside job usilete ule upuuzi kwenye huu Uzi.