Je unajua "hili" kuhusu Tume ya Warioba?

Je unajua "hili" kuhusu Tume ya Warioba?

Kwahiyo wewe mwanakijiji unataka tuchukue katiba ya chama fulani cha siasa ndiyo iwe katiba ya nchi yetu?huna uzalendo na hufai kuitwa mtanganyika wala mtanzani tume imefanya kazi nzuri ungeona hata aibu basi katika kusema ulichosema.
 
Naona mwanakijiji unaweweseka tu ulivyotaka haikuwa ya serekali moja jipe moyo iko siku itakuwa japo ni vigumu kutokea kwa zama hizi wewe bakia na chuki zako kwa kina warioba na waz'bar kwa ujumla
 
Sasa walitumia fedha nyingi kupita kusikiliza maoni kwa nini kama wangeweza tu kuandika rasimu yao __halafu waone mwitikio wa wananchi ni nini?

Kwamza huwafanya wanachi kujisikia wameshiriki, pia na wao wamepata kwa namna moja au nyingine mtamo mpya, ni katika kuboresha waliyokuwa wakifikiri, hisi nk
 
Ni usanii kupuuza maoni yetu na kuweka mambo yao tena ni wizi wa kodi yetu na nikupoteza muda.
[FONT=book
antiqua]Je Unajua: Tume ya "kukusanya" maoni ya Katiba Mpya
inayoongozwa na Jaji Warioba haikulazimishwa na sheria kukubali maoni
ya wananchi wengi? Yaani, hata kama wananchi wengi zaidi wangependekeza
kitu fulani tume haikutakiwa kukikubali? Kimsingi SIYO tume ya
KUKUSANYA maoni bali ya KUSIKILIZA MAONI. Sivyo?
[/FONT]


Swali la kujiuliza basi ni hili: Kama Tume haikulazimishwa kuchukua
maoni ya wananchi wengi na kuyafanya sehemu ya Katiba je tunaweza kusema
kwa haki na dhamira safi kuwa "Katiba imetokana na Wananchi" hasa kama
maoni ya Wananchi hayakuingizwa kwenye Katiba hiyo?
 
Je Unajua: Tume ya "kukusanya" maoni ya Katiba Mpya inayoongozwa na Jaji Warioba haikulazimishwa na sheria kukubali maoni ya wananchi wengi? Yaani, hata kama wananchi wengi zaidi wangependekeza kitu fulani tume haikutakiwa kukikubali? Kimsingi SIYO tume ya KUKUSANYA maoni bali ya KUSIKILIZA MAONI. Sivyo?

Swali la kujiuliza basi ni hili: Kama Tume haikulazimishwa kuchukua maoni ya wananchi wengi na kuyafanya sehemu ya Katiba je tunaweza kusema kwa haki na dhamira safi kuwa "Katiba imetokana na Wananchi" hasa kama maoni ya Wananchi hayakuingizwa kwenye Katiba hiyo?

Ama kweli kazi ipo. criticism kila jambo. haya
 
Kutoa maoni kunahusiana vipi na kupata Katiba kama Katiba inaweza kupatikana bila kujali maoni yanayotolewa?
Safari ni hatua!, ukitaka kutoka point A kwenda point B, you can't jump!, you have to start somewhere kwa kupiga the first step, then safari iendelee!.

Katiba iliyopo ni mbovu, tunataka kupata katiba nzuri, katiba bora iliyotokana na maoni ya watu!. Ili kupata katiba bora, kwa rasimu hii, this is the first step, safari ndio imeanza.

Ile katiba tuitakayo ni "kumi", tulicholetewa ni "moja" ili kuifikia hiyo kumi, sio lazima tuisubiria hii moja moja mpaka zitimie hizo "kumi" ndipo tuipokee!. "Moja shika sii kumi nenda rudi!", bora tuipokee hii moja (rasimu) tuishike, kuliko kuisusa na kusubiria hadi zitimie kumi ndipo tupokee!.

Msisitizo wangu ni ule ule, hitaji la Tanzania kwa sasa ni kupata "katiba bora" na sio "bora katiba!". Maada hii katiba iliyopo ni mbovu, na mchakato jinsi ulivyo hautatupeleka kwenye "katiba bora!" bali utatupatia "bora katiba!", then nibusara tuipokee hii "bora katiba!", vijana wa kazi watinge magogoni 2015, tuifumue hii "bora katiba" tutengeneze "katiba bora!".

Rasimu sio katika!, Mzee Mwanakijiji, toa maoni yako kuboresha kilichopo ili tupate angalau angalau, vinginevyo, katiba mpya isipopita, katiba mbovu ya zamani itaendelea na CCM itaendelea kutawala milele!.

Rasimu ni mbovu, ina mapungufu kibao!, toa maoni tuiboreshe, tuipunguze mapungufu tusonge mbele!.

Baadhi yetu humu jf, ni wazuri sana kwenye critiki tuu!, lakini solutions...!. Yes hakuja jema lolote la serikali ya CCM!, katiba mpya haikuwa sera ya CCM wala haikuwemo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM!, bali ni kwenye Chadema!. Serikali ya CCM imefanya uungwana kuicopy na kuileta, mmepewa kile mlichochililia!, hii ni fursa ya kufanya kweli na sio kulalamika kutwa kucha bila kutoa solutions. Tuwe na shukrani kwa kidogo tunachojaaliwa kwa "hisanituu!" ili tuweze kupata kikubwa!.

Naendelea kukusisitizia Mkuu MMKJJ, welcome to ground zero, uingie uwanja wa mapambano uucheze huu mpira. Muda wa kuwa only a spectactor of the show umetosha, please come to "ground zero" and play this game!.
Pasco.
 
Back
Top Bottom