Huo udongo ntaupataje na being gani?Ahsante sana kwa kutupa hii faida.
Hiyo ya kutakatisha mapaja, kwapa na hata kutowa harufu ya kikwapa, udongo wa Aunt Zainab ni namba moja. Huna haja ya kujisuguwa dakika tano wala kumi, unaupaka tu unaacha ukauke unauosha. Utaona aajabu.
Nnautumia ndiyo maana nnaujuwa. Mpaka zile zinaitwa: "liver spots" za usoni chini ya macho, nilikuwa nazo zimetoka mpaka nikashangaa na rangi haichubuki unabaki natural, Ajabu.
Huo udongo ntaupataje na being gani?
KaribuASANTE
WlcmAsante kwa kushare
Arabian queen bado hujarejea tuu?mi nasubiri tende na halua za hukoWlcm
Hhmm!!subiri mwakani nkuletee halwaArabian queen bado hujarejea tuu?mi nasubiri tende na halua za huko
tuwekee picha tuone inavyopakwa kwenye mapaja!Ahsante sana kwa kutupa hii faida.
Hiyo ya kutakatisha mapaja, kwapa na hata kutowa harufu ya kikwapa, udongo wa Aunt Zainab ni namba moja. Huna haja ya kujisuguwa dakika tano wala kumi, unaupaka tu unaacha ukauke unauosha. Utaona aajabu.
Nnautumia ndiyo maana nnaujuwa. Mpaka zile zinaitwa: "liver spots" za usoni chini ya macho, nilikuwa nazo zimetoka mpaka nikashangaa na rangi haichubuki unabaki natural, Ajabu.
Inamaana hujaelewa hapo mkuutuwekee picha tuone inavyopakwa kwenye mapaja!
InShaAllah haluwa hailiwi kiporo,acha nivute subraHhmm!!subiri mwakani nkuletee halwa
[emoji1] Nmesema tu lkn sijaahidi eee[emoji38] ngojeaInShaAllah haluwa hailiwi kiporo,acha nivute subra
Hahaha hii ni ahadi ya maandishi. Tena naamini utaipika kwa mkono wako [HASHTAG]#tehtehte[/HASHTAG]. Shahidi dada [HASHTAG]#FaizaFoxy[/HASHTAG][emoji1] Nmesema tu lkn sijaahidi eee[emoji38] ngojea
[emoji23]Usinibebeshe dhambi banaaa,nkija ntakuletea nsipokuona je,ntaigawaHahaha hii ni ahadi ya maandishi. Tena naamini utaipika kwa mkono wako [HASHTAG]#tehtehte[/HASHTAG]. Shahidi dada [HASHTAG]#FaizaFoxy[/HASHTAG]
[emoji23] Dhambi ni kutonibebea zawadi zangu,Ukigawa ahlan wasahlan, angalau utalipwa kwa nia yako [emoji23] Na kwanini tusionane? Kumbuka nina zwadi zako pia [emoji23][emoji23]Usinibebeshe dhambi banaaa,nkija ntakuletea nsipokuona je,ntaigawa
Zawad gan!!![emoji54] nambie kwanza,nkizipenda zawad zako itabid nije[emoji23] Dhambi ni kutonibebea zawadi zangu,Ukigawa ahlan wasahlan, angalau utalipwa kwa nia yako [emoji23] Na kwanini tusionane? Kumbuka nina zwadi zako pia [emoji23]
Surprise Surprise Surprise,but dont worry,It is empty of everything except sweetnessZawad gan!!![emoji54] nambie kwanza,nkizipenda zawad zako itabid nije
Hhhmmm kama husemi sijiSurprise Surprise Surprise,but dont worry,It is empty of everything except sweetness
Hhhmmm kama husemi sijiSurprise Surprise Surprise,but dont worry,It is empty of everything except sweetness
[emoji23] Unatakiwa uwe na husnul dhan.Mbona wataka kujikosesha mambo mazuri mazuri mchana wote huu wa jua kali [emoji]Hhhmmm kama husemi siji
Io zawad zawad gani ww au unataka kuniteka si useme tu nijue[emoji23] Unatakiwa uwe na husnul dhan.Mbona wataka kujikosesha mambo mazuri mazuri mchana wote huu wa jua kali [emoji]